Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha...
Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo.
Anabainisha kuwa kipindi...
Wana bodi.
Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani.
Sasa kwa maoni yangu,Huu...
CONVERTING TANZANIA NATURAL GAS INTO PETROL FUEL (GASOLINE) WILL SAVE A HUGE AMOUNT OF MONEY SPENT ON IMPORTING PETROLEUM PRODUCTS.
PETROL FUEL or GASOLINE is one of the fuels that is imported...
Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi:
"Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali...
Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo"...
Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Nyakoro Sirro amefanya ukaguzi katika maeneo ya External Ubungo lilipotokea tukio la ujambazi la kumjeruhi mfanyabiashara mmoja kwa risasi na kumsababishia...
kitendo cha Mwenyekiti wa UVCCM Heri James Kumteua Fred Ngajilo maarufu kama Fred Vunjabei kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Uchumi na Fedha UVCCM ni kulipa fadhila baada ya kusaidiwa kumaliziwa ujenzi...
Jana na leo taarifa ya mkuu mpya wa mkoa wa Dar esSalaam, Amos Makala kukutana na wazee wa CCM wa mkoa huo zimeenea katika mitandao mbali mbali ya kijamii.
Katika taarifa hiyo Makala amenukuliwa...
Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?
Itakumbukwa baada ya uchaguzi mkuu 2020 Lissu na Lema walikimbia nchi na kujitwisha majina ya wakimbizi wa kisiasa hapa nchini...
Kati ya utawala wa katiba na sheria zinazojulikana rasmi, kanuni na taratibu zilizopangwa na zinazotabirika AU utawala wa matamko ya mkuu wa nchi na viongozi wa serikali yasiyotabirika kipi...
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu...
Kwenye tangazo la ajira kada ya afya na ualimu kigezo ni wahitimu waliomaliza kati ya 2012-2019.
Lakini leo bungeni waziri Ummy anasema wataajiri waliomaliza kati ya 2012 na 2015. Sasa kulikuwa...
LUMUMBA DAR ES SAALAM
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo 25 Mei 2021 ametembelewa na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya Taifa...
Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali.
Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno...
Wakuu,
Kwa sasa hali ya usalama wa wananchi wanaoishi maeneo ya jirani na hifahibza wanyama pori umekuwa wa kusuasua kutokana na uvamizi wa tembo katika makazi na mashamba ya watu, pia hata...
Kwa vile AMA Chombo husika hakijawajibika ipaswayo kwa mujibu wa Sheria iliyokiunda ya na. 15 ya 1996 hususan sehemu II Ibara ya 5 (1) (d) AU kwa Viongozi waliotangulia kutosikiliza/ tekeleza...
Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa...
Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania limetoa muongozo kwa viongozi wake wa dini waache kujihusisha na siasa.
Jambo hili ni jema haswa ukizingatia kuwa Kanisa hilo lina waumini ambao wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.