Enzi za Magufuli watu walijenga nyumba, sasa hivi watu wananunua vyakula

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,955
2,000
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.

Mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.

Kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
 
Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
763
1,000
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Kawadanganye wajinga ,kipindi cha magufuli unajengaje wakati bei ya bati juu,nondo juu misumari juu, cement juu vyakula ndio usiseme
 
MTOCHORO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
4,498
2,000
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Utakuwa unaishi Kaburini, lakini kama ungekuwa hai Duniani ungeona watu walivyo na Furaha.
Woga umewaisha watu hela walizokuwa wameficha sasa wanatumia na baada ya Samia kurekebisha madudu ya Magufuli Uchumi utapaaa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,798

Unamlaumuje SSH ,ninachojua waliojenga kipindi Cha MWENDAZAKE ni wale wanufaika wa mfumo kwa njia moja au nyingine,Hata hivyo tukionacho ni kutokana mkausho wa azina KWA MWENDAZAKE, kisa kutafuta sifa za kisiasa kwa kuanzisha miradi mikubwa kuliko pato la Taifa ,SSH amekabidhiwa jumba bovu asilaumiwe Cha msingi yatubidi kulia wote
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,947
2,000
Mimi nilikuwa saidia fundi kwa hivyo nilijenga nyumba nyingi mpaka mikoani nilisafiri kwa sababu ya ujenzi ila tokea mama aingie nimepata vibarua viwili tu Tena vya kurekebisha rekebisha na kingine finishing
Hamia Chato,Kuna watu wengi sana wanajenga ,
Hata Hotel ya kitalii hapo Chato na Hospitali ya Rufaa,na miladi mingi iliyozinduliwa mafundi ujenzi wanahitajika sana,wanatafuta saidia fundi
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
687
1,000
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Acha kupotosha jamii, watu walikuwa wanajenga sababu hawakuwa na uhakika bora kuacha nyumba ya urithi kwa familia zao sasa hivi uhakika upo ndio maana tunakula kadansee.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
mbavusimba

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
622
1,000
Utakuwa unaishi Kaburini, lakini kama ungekuwa hai Duniani ungeona watu walivyo na Furaha.
Woga umewaisha watu hela walizokuwa wameficha sasa wanatumia na baada ya Samia kurekebisha madudu ya Magufuli Uchumi utapaaa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Wizara ya fedha wataona aibu kutangaza mapato kwa mwezi maana yatakuwa yameshuka sana eznzi za magu trilion 2 kwa mwezi sasa hivi inaweza kuwa bilion 800hadi trilion 1 tu
 
Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,786
2,000
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Yani Kama wewe punguani Umefanya hivo unafikiri ni kila mtu.

Binafsi nimeacha ujenzi nikiokuwa nimeanza msingi enzi za Jiwe, Natafuta kiwanja kipya nijenge nyumba ya ndoto zangu maana naona uhakika wa hela Upo
 
Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,786
2,000
Wizara ya fedha wataona aibu kutangaza mapato kwa mwezi maana yatakuwa yameshuka sana eznzi za magu trilion 2 kwa mwezi sasa hivi inaweza kuwa bilion 800hadi trilion 1 tu
Ni heri hizo za haki kuliko trilioni mbili za kupora kwenye akaunti za Watu.
Majambazi wakubwa Jiwe na wafuasi wake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom