Wanabodi nawasalimu.
Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.
Serikali imechukua hatua na uchunguzi unaendelea maana zipo kila aina ya harufu kuwa ilikuwa ni hujuma ya Sukuma Gang. Jaribio hilo limeshindwa.
Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.
Nashauri Usalama wa Taifa litupe macho huko Mtera kuzuia hujuma hiyo isitokee. Hatujui Plan C yao ni nini.
#FreedomIsBack