Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge. Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa...
3 Reactions
76 Replies
9K Views
CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar es Salaam … (endelea). Martha...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
====== Speaker wa bunge,Job Ndugai " Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu...
7 Reactions
108 Replies
9K Views
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako...
28 Reactions
76 Replies
11K Views
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mfanyabishara maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye jijini Abuja, Nigeria, May 8, 2014 pembeni mwa Mkutano wa Dunia...
5 Reactions
60 Replies
25K Views
Rais Magufuli leo Desemba 10 amekutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa Kiwanda cha Dangote Mtwara, Bilionea namba moja Afrika, Alhaji Aliko Dangote. Rais Magufuli baada ya kufanya mazungumzo...
33 Reactions
568 Replies
75K Views
Awali ya yote nipende kukusalimu kwa salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (yaani 'kazi iendelee') Nikupe pole kwa kazi nzito ya kuongoza hili taifa letu na pia nakupa hongera ya kufikia...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na leapfrog kwa spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jobu Ndugai katika kuendesha Bunge. Je, ni kwa sababu ya speed ya awamu ya sita au Spika ana jambo lake?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuifanya Tanzania kuwa ni sehemu salama hasa linapokuja suala la kuwekeza. Leo Mei 25, 2021 Mhe. Samia Suluhu Hassan...
18 Reactions
67 Replies
6K Views
Bunge lililopita lilikuwa lenye Wabunge wa CCM na wa vyama mbadala. Hoja zinapotolewa na Wabunge wa CCM hata kama hazina uzito wowote zinashangiliwa lakini zikitolewa hoja zenye maslahi ya...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukifatilia tawala kubwa zilizopitA kale, za Sasa na matAifa yaliyoendelea kiuchumi Kuna mchango mkubwa Sana wa wageni kutoka nje. Ukiangalia asili ya Trump na Obama wote walitoka nje ya marekani...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama inavyojieleza Kwenye Picha hapo chini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi. Bado...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
ELIMU YETU NDIYO MSINGI WA UKOLONI MAMBO LEO. Na Elius Ndabila 0768239284 Msingi mkubwa wa Maendeleo Duniani kote ni elimu. Hapa tunazungumzia elimu rasimi na isiyo rasimi mhimu ni ile elimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara...
10 Reactions
157 Replies
21K Views
Kama tujuavyo kuwa kwenye shughuli ya siasa mtaji ni wanachama, CCM wanadai kuwa wana wanachama hai wapatao milioni 12. Ningetamani kujua na vyama vingine waweke data za wanachama wao hadharani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MSISITIZO NA MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI SEKTA YA MIFUGO Chama Cha Mapinduzi CCM kimetoa pongezi kwa Wizara ya kilimo na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha...
34 Reactions
132 Replies
10K Views
Back
Top Bottom