Humphrey Polepole akabidhi ofisi kwa Shaka

Humphrey Polepole akabidhi ofisi kwa Shaka

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,246
Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.

Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.

Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena.

Screenshot_20210523-185535.jpg
 
Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.

Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.

Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Ni vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.

President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.

Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?

Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.

Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
 
Polepole alipaswa kuweka akiba ya maneno.maana kisiasa kesho haijulikani.na wahenga walinena akiba haiozi.
Wote watatu hawakua na akiba ya maneno. Kuanzia 1.mwendazake,2. Mshika Dola ambaye alitumia Dola kubaki kwenye Dola lakini kwa kua alikua Hana upeo na uungwana Dola ikamponyoka na Sasa hivi Yuko ligi moja na mzee Halima. This world buana....3. Dogo slowmotion
 
Kweli na hakika weka akiba ya maneno.....hujui kesho yako
 
Back
Top Bottom