Spika umenena kweli kuhusu Bunge kufuatilia ajira lakini kwanini ni baada ya awamu ya tano?

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale.

Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe wa Spika Ndugai toka Moro siku moja - huyo bwana alimtambia ndugu yangu kuwa Ofisi yeyote anayotaka kwenda kufanya kazi anakubaliwa.

Na kweli baada ya siku kadhaa akamjulisha ndugu yangu huyo kuwa amehamishiwa kufanya kazi sehemu Fulani aliyoitaka yeye - hamna usaili wala longolongo.

JPM alipoingia kazini ushindani ulikoma kabisa - NSSF zilitangazwa nafasi za watendaji - lwevel ya Menjimenti zikayeyuka - mpaka leo huwezi kukuta NSSF wanatangaz a nafasi - labda zianze kuondoa mfumo Dau. Labda SSH anaweza badilisha.

Bandari waliwahi tangaza nafasi lakini haijawahi semwa kama usaii ulifanyika na akina nani walifanyiwa - waliopata ukiwauliza haikuwa kwa ushindani.

Nenda REA ndiyo balaa jingine. Benki Kuu kimya kama hawaajiri - wataoto wa wenye nchi walipelekwa kwa spidi sana kama malipizi kwa awamu zilizopita. Hakuna Taasisi ambayo katika awamu ya tano ilitangaza kazi ikafanyika interview na kuchukua wasailiwa waliokuwa sahihi. Nenda Taasisi yeyote unipe jibu.

Ninashauri na kukuomba Mhe. Rais Mama SHH uangalie sana hili jambo - limeleta matabaka sana nchini - leo ukiluiza tu Taasisi kama REA, TCRA, TPA, TRA, UCSAF, NSSF, PSSSF, EWURA, BOT, TASAC nk itakuletea tu picha ya haraka kuwa hamna taratibu za kuajiri hufanyika huko Zaidi ya waendao huko kupelekwa kwa Vimemo.

Ndugai alikuwa analifahamu sana hili kwa sababu ilikuwa ni sehemu ya mpango wake na Mwendazake lakini leo anaonekana kugeuka ili kum-win Mamam. Tunaendelea kumsihi mama asiyumbe katika kusisitiza taratibu ili hata hicho wanachojaribu kumtafuta nacho akina Ndugai na Sukuma Gang wakwame kabisa.
 
Kwa sababu mshikilia akili za watu kazi hiyo alipokonywa na maulana mwenyewe.
 
Hawa wakosefu wa mwendazake wanapaswa kujibu tuhuma nyingi tu za ubadhirifu na uongozi mbaya wakati wa utawala dhalim wa bwana yule.
 
Weka habari kamili sio unakuja kueleza kitu kana kwamba sote humu jf tumehusika na huo mchakato wa kugawa ajira.
 
Back
Top Bottom