Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
1 Reactions
1 Replies
991 Views
Mar 28, 2021 · RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere...
10 Reactions
63 Replies
6K Views
Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema...
0 Reactions
5 Replies
818 Views
Huku Afrika kunashangaza sana. Jitu jizi ambolo mkaguzi mkuu wa Mahesabu ya Serikali amesema haoni namna matumizi ya pesa za Serikali kiasi cha 1.5 Tirioni zimetumikaje ofisini kwake kwa Rais...
4 Reactions
14 Replies
841 Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Sheria ya Serikali kutaifisha Ng'ombe wanaoingia maeneo ya Hifadhi ni tatizo, akiita kuwa Sheria yenye dhuluma. Amesema, "Hii Sheria sijui ilipita wapi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum .. Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni... Ni nadra Sana watu...
15 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM. Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi...
8 Reactions
132 Replies
14K Views
Wanabodi, Hakuna mwanadamu aliyekamilika kabisa hapa duniani. Hivyo nawaomba vijana wenzangu tujifunze kujikubali kwa kujikosoa na kukubali kwamba hata sisi tuliwahi kufanya makosa au madudu...
1 Reactions
1 Replies
782 Views
Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu. Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao. Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mama chapa kazi ukiwaheshimu wanakuita mpole hii ni dharau sana mama akiwajibu msilalamike kabisa madonda ya MATAGA yameanza kupona
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa JF Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Madaktari Bingwa kutokea Nchini Cuba wanatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma za Kitabibu Kwa mujibu...
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Kwa kuwa ndugu Amos Makalla wewe ni pedeshee ndio unajifanya hujui maisha ya Dar yalivyo? Hijui kuwa alismia 90 ya wakazi wa Dar wanaishi kwa kubanana na wengi wanaishi mitaa ya madongo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni. Wakati wa uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
The Diplomat Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote. Jana Mei...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
JE, MWANAHALISI WAMEHONGWA KUPOTOSHA KAULI YA MHE. MWANAISHA? The Diplomat Vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana kwa sababu baadhi ya vyombo vya habari vinamilikiwa na mafisadi ama vinajiendesha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Historia inaonyesha nchi nyingi zilifanikiwa kuvunja mzunguko wa utegemezi kwa kuanzisha viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali. Serikali ya Awamu ya Tano ilijenga msingi mzuri wa Sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Rais wangu, ukipata nafasi mwite ofsini Kamishna wa TRA nchini, Bwana Alphayo Kidata. Muulize katika mwezi April/May ambao yeye amekua ofisini amekusanya mapato kiasi gani. Akikupa hesabu...
13 Reactions
53 Replies
7K Views
Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom