Mbowe kaja operesheni nyingine ale hela ya wafadhili

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
621
1,000
Ni kawaida ya Mwenyekiti wa chadema kuja na operesheni mbalimbali kwa madhumuni ya kula hela za Chadema.

Operesheni hizi huwa hazina tathmini ya kufikiwa kwa matokeo tarajiwa. Zilikuja operesheni sangara, M4C, UKUTA, Sera mbadala n.k

Aliposusa ruzuku akakaa kimya akaenda nje ya nchi sasa wafadhili wametoa hela operesheni. Pesa kwenye operesheni zinalika kirahisi ni utakatisha fedha ndani ya chadema.
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
1,354
2,000
Ni kawaida ya Mwenyekiti wa chadema kuja na operesheni mbalimbali kwa madhumuni ya kula hela za Chadema..
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,673
2,000
Lissu....

MBOWE.....

Ni watu wajanjawajanja WENYE MIKAKATI YA UPIGAJI waliojiweka mbele ya WANASIASA......

#FedhaZaWahisaniWaKisiasa
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,548
2,000
Ni kawaida ya Mwenyekiti wa chadema kuja na operesheni mbalimbali kwa madhumuni ya kula hela za Chadema.

Operesheni hizi huwa hazina tathmini ya kufikiwa kwa matokeo tarajiwa. Zilikuja operesheni sangara, m4c, ukuta, Sera mbadala n.k

Aliposusa ruzuku akakaa kimya akaenda nje ya nchi sasa wafadhili wametoa hela operesheni. Pesa kwenye operesheni zinalika kirahisi ni utakatisha fedha ndani ya chadema
Ben nawe unaweza kuanzisha chama cha siasa ufanye kama unavyodhani anafanya..wala hakuna haja ya kuja mitandaoni kulialia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,572
2,000
Ni kawaida ya Mwenyekiti wa chadema kuja na operesheni mbalimbali kwa madhumuni ya kula hela za Chadema.

Operesheni hizi huwa hazina tathmini ya kufikiwa kwa matokeo tarajiwa. Zilikuja operesheni sangara, m4c, ukuta, Sera mbadala n.k

Aliposusa ruzuku akakaa kimya akaenda nje ya nchi sasa wafadhili wametoa hela operesheni. Pesa kwenye operesheni zinalika kirahisi ni utakatisha fedha ndani ya chadema
Matagaaaa!!! waambie hao wanaotoa pesa wasimpe.
Kutuambia sisi ni kupeperusha benders isiyo na chama
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,840
2,000
Ni kawaida ya Mwenyekiti wa chadema kuja na operesheni mbalimbali kwa madhumuni ya kula hela za Chadema.

Operesheni hizi huwa hazina tathmini ya kufikiwa kwa matokeo tarajiwa. Zilikuja operesheni sangara, m4c, ukuta, Sera mbadala n.k

Aliposusa ruzuku akakaa kimya akaenda nje ya nchi sasa wafadhili wametoa hela operesheni. Pesa kwenye operesheni zinalika kirahisi ni utakatisha fedha ndani ya chadema
verified member una hara jioni hii? shame upon you!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom