Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa COVID19, Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache zilizokuwa na ukuaji wa Uchumi chanya kwa mwaka 2020.
Amesema Pato la Taifa la Tanzania...
Miezi miwili iyopita tulisikia Kampuni ya Millicom International Cellular SA (MIC) inayomiliki Tigo na Zantel imetangazaa kuwa imeingia makubaliano na kampuni ya Axian kutoka nchini Madagascar kwa...
Ulinganifu hauwezi kuletwa na rais. Samia anatakiwa aelewe amefikaje hapo na ajiulize je, angejaribu kuomba urais wa Z’bar angeupata? Sasa anaanza kulazimisha kabla ya kuondoa mfumo na vikwazo...
President Mokgweetsi Masisi will undertake a Working Visit to Dar es Salaam, Tanzania tomorrow, June 10 2021 and return on Friday.
"His Excellency the President will meet with his counterpart...
Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho.
Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako.
Tangu October 2020 hadi leo hii...
Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo.
Movement #ChangeTanzania started this petition to...
Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa...
Wadau wa JF
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Donald Wright
Balozi Wright amempongeza Dkt Kikwete...
Nashindwa kuamini kuwa leo kuna Bajeti ya Serikali Nchi ya Mfumo wa Vyama Vingi Bunge la Chama kimoja Unatarajia kuwa na Bajeti ya Serikali au ya Chama?
Awamu ya 4 tulizoea kusikia Mawazuri...
Ni takriban miezi saba sasa tangu uwepo wa bunge hili, Mbunge wa Monduli Mh. Fredrick Lowassa hatujamsikia akichangia chochote kama alivyokuwa mtangulizi wake, Mh. Julius Kallanga aliyekuwa na...
LUHAGA MPINA AMSIFU BUNGENI MH. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KASI NZURI YA UJENZI MIRADI YA SGR KIPANDE CHA MWANZA- ISAKA NA MIRADI YA TARURA
"Mhe. Spika na mimi nashukuru sana kwa kunipa nafasi...
Assalam wanajamvi! poleni na majukumu ya kila siku ya kujikwamua kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni!
Niende moja kwa moja kwenye hoja, neno kudemka lilipata umaarufu miezi kadhaa likiwa na maana...
Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji.
Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo...
Leo anga la Tanzania limetikiswa na mbunge machachari kutoka Sengerema William Mganga Ngeleja baada ya kutangaza kurudisha pesa zote za Escrow.
Hii itamsaidia mbunge kujisafisha na makando kando...
Kwanza, Dodoma inaweza kuendelea kubaki kuwa makao makuu ya serikali, kisheria na kiutaratibu katika makaratasi ili kuwaridhisha wanaopenda kuganda katika mawazo ya Nyerere na kuona anaendelea...
Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa?
Tuseme ukweli...
Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais.
Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala...
Rais Kikwete ateua Katibu wa Ikulu
Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteuwa Michael Mwanda kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.