Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Tanzania! Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote. Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO. Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi Serikali inaandaa sheria maalumu ya mtu kuwa na laini moja ya simu kutoka kampuni moja ikiwa ni njia ya kulinda faraga za watu inayolenga kudhibiti wahalifu mtandaoni. Bado...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada...
67 Reactions
280 Replies
22K Views
1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa 2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee 3. Mishahara Kupandishwa Maradufu 4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee 5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa 6. Kuwasamehe...
35 Reactions
122 Replies
12K Views
Wanangu jamvini hamjamboni? Nimesoma kanusho la TAKUKURU kwenye gazeti la the Citizen kuhusiana na kukamatwa kwa Daudi Bashite/Paul Makonda. Je hii inamaanisha nini? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Mungu mwema sana kwangu, pia mwema kwa WanaJF wote, na niwasalim katika yeye mwenye uwezo juu ya kila kitu alicho kiumba Niende kwenye mada, ambayo ni fupi mno maana yaitaji majibu ili mnisadie...
2 Reactions
1 Replies
906 Views
Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ametangaza ziara ya Rais wa JMT katika Mko wa Mwanza itakayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Mkoani Mwanza. Katika ziara hiyo, RC Chalamila amesema Rais...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring...
0 Reactions
216 Replies
33K Views
Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai. Samehe ilimradi wewe ni mzima na Mungu anakulinda kwa gharama zake yeye. Ulipigwa Risasi...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
Ningemsalimia kwa unyenyekevu mkubwa na kumshukuru kwa nafasi ya kukutana naye! Ningemwambia kuhusiana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi katika taifa letu! Ningetoa mapendekezo...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update...
3 Reactions
172 Replies
16K Views
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana mara baada tu ya taarifa zinazohusu mlinzi wa Katibu Mkuu kuwekwa hapa, tuliandika hivi; "Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa...
49 Reactions
1K Replies
161K Views
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja. Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia. Masikini Dada wa watu na urembo...
16 Reactions
105 Replies
18K Views
Wakuu, Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole...
10 Reactions
84 Replies
11K Views
Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais...
26 Reactions
107 Replies
10K Views
Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma. Ningependa kumkumbusha Rais Samia...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno. Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Back
Top Bottom