Serikali haijakaa kimya juu ya wahalifu wanaokashifu, kuzusha uongo na kuleta taharuki katika jamii ikiwemo uzushi wa taarifa za vifo vya viongozi. Wahusika watapatikana na hatua za kisheria...
Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku...
Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali
Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu.
Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Mwanza kuanzia Juni 13 hadi 15 mwaka huu. Pamoja na mambo mengine katika ziara hiyo atazindua jengo la Benki Kuu yq Tanzania (BOT)...
Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa...
Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi amewasili kwa na ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, kuanzia leo Juni 10, 2021 kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Viongozi hao...
Naomba wenye uelewa wa mambo ya uchumi wa nchi wanipanue ufahamu kidogo kuhusu mambo ya mikopo.
Nimekua nikisikia kwamba serikali imekopa au itakopa mikopo yenye masharti nafuu, na mara nyingi...
Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote .
Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
Hii tabia ya kuanza kufanya uchambuzi wa kuwalinganisha viongozi wetu wakuu naona ingali bado inaendelea, binafsi nilimsikia Mhe. Rais mara kadhaa akikemea jambo hili lakini bado kuna watu tena...
Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.
Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona...
Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji wa kazi ndani ya mikoa yao na serikalini kwa ujumla
Mheshimiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, mara kadhaa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli tata...
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikipita barabarani ukweli ni kwamba ni ngumu sana trafiki kukamata bodaboda. Mara nyingi nimeona wanaokamatwa na trafiki ni waendesha magari sio waendesha bodaboda.
Hata...
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
Balozi aliyekuwa anayeiwakilisha Tanzania nchini Japan, Dk Batilda Buriani anatarajiwa kurudi nchini baada ya kukwama kutokana na ukosefu wa fedha.
Dk. Batilda aliteuliwa kuwa balozi wa Japan na...
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Wananchi wote waliohusika kuushambulia kwa mawe Msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Kyela Claudia Kitta na timu nzima ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesema asilimia kubwa ya watu wanaokosoa maendeleo yanayofanywa na Serikali, hawajaoa au kuolewana na wengine wameachika kwenye mahusiano yao,kwa kudhani...
Mheshimiwa Samia!
Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.