Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Niende kwenye mada husika hapo juu. Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Kuanzia 2015 mwishoni Hadi 2021 Tulipokuwa tunawaambia TIME WILL TELL mlijua tunajifunza kingereza, we tumwa ukaue, tesa watu, dhulumu watu, shadadia watesi, zarau watu, tukana watu na wafanyie...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule...
6 Reactions
91 Replies
10K Views
Asaalam Mama. Mama kuna watu tulisema tangu mwanzo sio wakuwabeba lakini ume wabeba ukasema mkubwa hakosei. Tena ukampa mkoba akushikie na akupangie matumizi, mtu carwad asiyeeleweka msimamo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya mambo ya maana katika budget hii ni kupunguzwa kwa faini za barabarani. Hii Tsh. 10,000 ndio tulikuwa tunawahonga askari wa barabarani, sasa naandaa Tsh. 2,000 wakigoma kupokea nawaambia...
14 Reactions
20 Replies
4K Views
Hamjamboni wanangu jamvini? Nina suala linanisumbua hasa kwa wale ambao bado ni vijana. Kwa sasa, mamlaka nchini China zimeruhusu wachina kuzaa watoto watatu kila familia. Kabla ya hatua hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Subilia kuanzia J3 uone wabunge watakavyo pinga Bajeti wakayi wa kuchangia, ila cha ajabu siku ya kwisho wataipitisha kwa kishindo. Tuna Bunge dhaifu tangu tupate uhuru,
1 Reactions
7 Replies
865 Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Nimeona kodi kwa bia zinazotokana na shahiri inayozalishwa nchini imepunguzwa. Hili ni jambo jema sana kwa kuwa litahamasisha soko la bidhaa zetu za ndani na kupanua wigo wa viwanda vya ndani...
2 Reactions
5 Replies
951 Views
IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na...
14 Reactions
68 Replies
5K Views
Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa! Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma! Kusema kweli...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao...
4 Reactions
133 Replies
11K Views
Nimesikitika kidogo hapa. Naamini wabunge watatupambania. Kama LUKU zitakuwa na Kodi ya Majengo basi ghalama za Maisha zitapanda mara dufu. Kinyozi lazima apandishe bei, wauza vinywa vya baridi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa...
32 Reactions
158 Replies
12K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo...
15 Reactions
61 Replies
6K Views
Tanzania wakati wa Hayati kulikuwa na biashara ya upinzani. Hizi biashara zimedoda sana na Tanzanite karibu wataomba mikopo 1. Vyombo vya habari kama Tanzanite 2. Usalama wa taifa kupiga deal za...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
February 17, 2020 Katazo la kupiga picha mbugani Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya...
4 Reactions
72 Replies
12K Views
BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi? Hivyo kweli tutaendelea nchi yetu kiuchumi? Bajeti aliyotoa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu ili ipitishwe na...
7 Reactions
99 Replies
9K Views
Back
Top Bottom