Waambiwe tu Ukweli kuwa wao ni sawa sawa na Mwanaume na ndiyo maana hata Roho zetu pamoja na Mioyo yetu ni sawa na hakuna ulioandikwa ni wa Mwanaume au Mwanamke. Na hata Vitandani tukiwa '...
Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya
Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu...
UVCCM mnatakiwa kubadili mitazamo yenu.
Ndugu zangu nawasalimu.
Leo tena nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Leo nitaongelea kuhusu Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na...
Kuna anayefikiri kama mimi?
1. Walipoondoka bungeni spika alifurahi na kusema hata wasipokuwepo ccm wanatosha kupitisha mambo yao na cdm hawana madhara yoyote na hawajavunja sheria wala kanuni...
Kuna kila sababu ya mheshimiwa rais wa JMT ashauriwe avunje bunge kwa maslahi mapana ya Taifa.
Kuna sababu kuntu mojawapo ni hizi:
1. Wabunge, ambao ni wawakilishi wa wananchi wanadai mishahara...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro amesema hadi sasa kuna askari 61 wamefukuzwa kazi baada ya kuthibitika kuwa wamekuwa wakiwatendea vibaya wananchi wanaoingia hifadhini
Amewataka...
Na Mwandishi Wetu,
Moshi.
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kufuatilia kwa karibu ahadi zake binafsi, ahadi za hayati Rais Magufuli pamoja na utekelezaji wa ilani...
Leo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu wauliza maswali na wanaojibu wamekuwa wakikatishwa bila hoja maalum kueleweka kwa Muuliza swali na anayepaswa kujibu.
Wasiouliza nikupiga makofi...
Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na Late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa.
Hukuishia hapo ukamunanga Mhe. Rais Samia...
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
Halima Mdee nje na ndani ya ukumbi unasutwa. Hata uongee point vipi ni pointless.
Kusutwa na mwanamke mwenzio ni aibu.
Ushauri wangu Jiuzulu Ubunge, kaombe msamaha kwenye chama chako.
Ndugai...
Mwaka 1977 Chama Cha Mapunduzi kilizaliwa rasmi hapa nchini, na safari yake ya kutawala nchi za Tanganyika na Zanzibar chini ya mwamvuli wa katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja ikaanza.
Wahusika...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia...
Kuna shule flani kule Arusha inanyanyasa sana walimu na hakuna wa kuwasemea. Waajiri wanatumia kukosekana kwa ajili kunyanyasa walimu.
Hiyo shule ukiajiriwa tu unanyanganywa simu huruhusiwi...
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea.
Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni...
Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.
Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi...
Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa...
Nawasalim kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Badala ya kuwa kila jimbo au wilaya ina mbunge, Binafsi nimewahi kushauri kuwa na mbunge mmoja tu kutoka kila mkoa na wabunge wachache wa...
Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, N/Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, N/Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
P...
Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.