Rais Samia, tunakusubiri kwenye U-DAS na Watumishi wa Umma

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya Siasa.

Kwa hiyo tunategemea "mkeka" ujao hautakuwa na MAKADA au wanasiasa wa chama chochote cha siasa, maana umeamua kufuata Katiba na Sheria.

Nikutakie uteuzi mwema mama usinisahau na mimi

Kumbuka kufuata Sheria ya Utumishi wa Umaa Sura 298 Marejeo ya Mwaka 2009.
 
Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya Siasa...
Sifa ni kuw mtz mchapakazi mwaminifu na mzalendo na pia mwelevu siyo lazima awe public servant mkuu!
 
Dalili ya mvua ni mawingu, hakuna jipya tena, madudu ni yale yale. Usitegemee huyu mama atakuwa na weredi wa kuteua DED. Nakuambia hakuna. Huyu mama yetu kwenye uteuzi hayuko serious, anabahatisha mnoo. Embu tazama haya;
-Kwenye makamu wa Rais (Alichemka vibaya)
-Baraza la mawaziri (Alichemka vibaya)
-Mabalozi (Alichemka kiasi)
-Wakuu wa mikoa (Alichemka vibaya)
-Wakuu wa wilaya (Amechemka vibaya sana)
 
Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya Siasa...
Wamo na walimbwende wa miaka ile, sijui huku Shitimbi wataweza kuishi kweli na wameshozoea maisha ya kula bata jijini
 
Haahaa maded tutegemee walioshindwa ubunge kwenye kura za maoni, pia watoto na maswahiba wa wakubwa hasa jamaa za jk.Mama afuate sheria za utumishi wa umma, awaombe utumishi wamfanyie vetting ya kutisha ateue watumishi wa umma walio waadilifu, wenye weledi, pia bila kujuana.Wakurugenzi Ni watu muhimu Sana kwa maendeleo ya wilaya au manispaa
 
Sifa ni kuw mtz mchapakazi mwaminifu na mzalendo na pia mwelevu siyo lazima awe public servant mkuu!
DAS ni mtendaji na sio mwanasiasa kama DC

JPM aliharibu saana muundo.wa.Serikali alipoanza juteua Makada kuwa wakurugenzi
 
Back
Top Bottom