Wanawake wa Tanzania kuonyeshwa kupendwa na kupendelewa na 'Mwanamke Mamlaka' mwenzao ni kuwalemaza akili na si kuwajenga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,350
2,000
Waambiwe tu Ukweli kuwa wao ni sawa sawa na Mwanaume na ndiyo maana hata Roho zetu pamoja na Mioyo yetu ni sawa na hakuna ulioandikwa ni wa Mwanaume au Mwanamke. Na hata Vitandani tukiwa ' tunabaiolojiana ' 24/7 usawa wa ' Kimihemko ' huwa unakuwepo na tunaheshimiana.

Hii ' Sumu ' iliyoanza ' Kutamalaki ' nchini Tanzania baada ya tarehe 17 Machi, 2021 ya Kuonyesha wazi wazi kuwa Watu wamedhamiria kwa Makusudi Kuwapendelea na Kuwabeba Wanawake inaweza ikawa ndiyo ' anguko ' lao Kuu la ' Kiufanisi ' katika Jamii yao husika.

Taifa la Rwanda ndiyo lilikuwa ' Kiherehere ' katika kuwapa Usawa Wanawake nchini humo katika nyanja mbalimbali za Kisiasa na Kimamla ila Leo hii Wanaume wa Rwanda ' wanajuta ' na hata Bunge la Rwanda lililopitisha nalo sasa linajuta na liko mbioni kupunguza Mamlaka ya Wanawake nchini humo.

Kwa jinsi Wanawake wa Tanzania ' wanavyodekezwa ' na ' kupendelewa ' na Mwanamke Mamlaka Mwenzao wameshaanza kujawa na Jeuri huku wengine wakisema Tanzania sasa ni yao na ipo Siku watatulazimisha hata nasi Wanaume tuanze kupeana nao zamu za Kuvaa ' Pedi ' na ' Kukuna ' Nazi Majumbani.

GENTAMYCINE ni Muumini wa Utaratibu uliowekwa hata na Mwenyezi Mungu na Mababu zetu kuwa Mwanamke atabaki tu kuwa Mwanamke, atakuwa daima chini ya Maelekezo ya Mwanaume na Kazi yake Kuu ni Kuzalishwa, Kulea Watoto na Kutunza Nyumba ( Familia ) ya zaidi ya hapo hayamuhusu na akiyafanya basi kitakuwa ni ' Kimbelenbele ' chake.

Sasa nimeshajua ni kwanini ' First Gentleman ' Mwanaume Mwenzetu Hafidh Ameir hata akionekana tu katika Majukwaa na Hadhira utaomuona ni Muoga Muoga hivi, Hajiamini na ni kama vile Nyumbani Kwake huwa anakiona cha Moto kwa Mama ' Macho Kurembua ' wa Kikatiba nchini Tanzania.

Hivyo anataka Kukiendeleza anachomfanyia Mumewe aje akifanye Kwetu Wanaume wengine au awaambukize Wanawake Wenzake wa Kitanzania ambao naona ni kama tu ' anawasakizia ' kupata ' Vipigo ' vya ' Kishalubela ' kutoka Kwetu Wanaume tunaojitambua na tusiopenda Shobo wala Upuuzi.
 

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
584
1,000
Hii eneo ndo huwa naikubali Dini ya Ndugu zangu Waislamu ! Huu upuuzi umeletwa na Nchi za Magharibi nasi pasi na kuhoji kitu tumejikuta tunacheza ngoma ambayo hatujui.

Sasa hivi ukiangalia kwa "Jicho la Tai" sehemu nyingi sana fursa nyingi za kiuchumi ni kuwezesha wanawake na ndo wengi wana mshiko sasa.

Kongole GENTAMYCINE Kwa kuliona hili!
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,350
2,000
Hii eneo ndo huwa naikubali Dini ya Ndugu zangu Waislamu ! Huu upuuzi umeletwa na Nchi za Magharibi nasi pasi na kuhoji kitu tumejikuta tunacheza ngoma ambayo hatujui.

Sasa hivi ukiangalia kwa "Jicho la Tai" sehemu nyingi sana fursa nyingi za kiuchumi ni kuwezesha wanawake na ndo wengi wana mshiko sasa.Kongole GENTAMYCINE Kwa kuliona hili!
Akhsante sana Mkuu na ukiona tu GENTAMYCINE nakuja na Hoja Mtazamo na Hoja Pingani hapa JamiiForums basi jua kwa 99.999% Jicho langu Pevu la Ndege Tai ( An Eagle ) limeshaona tatizo Kubwa mahala hivyo nawahi Kulisemea na Kulikemea mapema lisije kuleta Shida mbele ya Safari.
 

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
11,859
2,000
Hamia Iran au Afghanistan
Hii eneo ndo huwa naikubali Dini ya Ndugu zangu Waislamu ! Huu upuuzi umeletwa na Nchi za Magharibi nasi pasi na kuhoji kitu tumejikuta tunacheza ngoma ambayo hatujui.

Sasa hivi ukiangalia kwa "Jicho la Tai" sehemu nyingi sana fursa nyingi za kiuchumi ni kuwezesha wanawake na ndo wengi wana mshiko sasa.

Kongole GENTAMYCINE Kwa kuliona hili!
 

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
4,450
2,000
Kwa mara ya kwanza leo hujataka tuige nchi 'iliyotukuka' na kubarikiwa watu wenye 'akili' mingi ya Rwanda.
 

Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,327
2,000
Mnaongea utopolo gani hapa??toka 1961 mnaongoza nchi.then what?
Mtuache
Waambie dada, awamu zote tano wameongoza wanaume, leo nusu awamu tu kashika mwanamke ishakuwa taabu. Hii ni phobia mbaya sana. Wanaume tutabaki wanaume tu, tusiwe na hofu na "powerful women". Kumobilise wanawake itasukuma mbele maendeleo ya nchi yetu kwa kasi zaidi. Marekani imeendelea, moja ya sababu ni kutumia vema nguvu ya wanawake.
Ni kweli wapo wanawake watakaovuruga ndoa, kisa wameendelea zaidi. Lakini hiyo siyo hoja, kwa kuwa wanawake ni wengi sana kuliko wanaume, na bado wapo wanawake wengi wanaojitambua na ambao marriage material
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,263
2,000
Hii eneo ndo huwa naikubali Dini ya Ndugu zangu Waislamu ! Huu upuuzi umeletwa na Nchi za Magharibi nasi pasi na kuhoji kitu tumejikuta tunacheza ngoma ambayo hatujui.

Sasa hivi ukiangalia kwa "Jicho la Tai" sehemu nyingi sana fursa nyingi za kiuchumi ni kuwezesha wanawake na ndo wengi wana mshiko sasa.

Kongole GENTAMYCINE Kwa kuliona hili!
Ndiyo maana wengi waliopo madarakani hawaolewi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom