Mwanzo naona alianza vizuri ila kadri siku zinavyoenda anaanza kuboronga sana.
Mama hayupo makini kuteua wasaidizi wake, either hana washauri au ni yeye tu hajui tena afanyaje.
Ukikosea Mara ya...
Mwaka 2015 Magufuli alipoingia madarakani alipanua wigo wa uteuzi na kuapisha. Tulishuhudia akiteua waliokuwa makada wa CCM zaidi ya 200 na kuwapa nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri (DED) na...
Niliwahi kuandika kuhusu huyu Waziri wa Fedha anajiitaga mchumi wa daraja la kwanza! Huyu ni miongoni mwa mawaziri ambao ni mzigo kwa Watanzania!
Leo Bwana Mwigulu akiwa Bungeni amewatangaza watu...
Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo...
Kada ya ualimu ndio imebeba idadi kubwa ya watumishi. Mwaka 2015 pekee waliajiriwa walimu wengi sana kwa mkupuo na hao hawalupanda madaraja kwa takribani miaka 6
Sasa taarifa iliyo toka hivi...
MKUU WA MAJESHI MMOJA ALIWAHI KUNIAMBIA MAMBO MAWILI AMBAYO HUWAAMBIA WAFANYAKAZI WENZAKE, MAMBO HAYA, YALINIKAA SANA NA NIKAYAELEWA
Alisema ....
1.
Kila siku kabla ya kulala, andaa sare yako na...
Mazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo Juni 22, 2021 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center.
TAARIFA KWA UMMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na...
Wanachama wa CCM walio waajiriwa wa Serikali na wenye sifa za utumishi wa umma na waliogombea nec 2017 na kugombea au kutoa Nia kugombea ubunge kupitia majimbo ninashauri wakumbukwe kwenye...
Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima...
Kumezuka mjadala kuhusu mishahara ya Wabunge na Posho zake, ambapo wabunge wanalalamika kuwa wanalipwa pesa kidogo na huku wananchi wakilalamika kuwa kodi zao zinachezewa bure ili kuwalipa wabunge...
Nilimsikia Rais wetu mpendwa Mama Samia akisema tuanzishe Benki ya Vijana. Kwa kuwa alileta wazo, basi mimi naongezea katika wazo lake, Benki zilizopo zinatosha, ila serikali iweke dirisha maalum...
Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake.
Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua...
Construction works on US $30bn liquefied natural gas (LNG) project in Tanzania is set to begin in 2023. Energy Minister Medard Kalemani announced the plans and said the scheduled date follow the...
WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA Katibu Mkuu UVCCM TAIFA (SG) Raymond Mangwala
Baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa UVCCM - Taifa kupewa UDC. Chombo hicho kimebaki bila uongozi wa juu. Ukiachilia...
Katika watu wanaouharibu ulimwengu ni wanasiasa,
Unaweza mkajikuta mpo watu kumi Chadema, mkidhani mna nia moja kumbe nane kati yenu ni makada wa CCM. Baadae unasikia tu wameunga juhudi halafu...
Wiki iliyopita, kuna jirani yangu mwanaye alipata ajaliya pikipiki, Yule kijana aliumia si saana.
Alienda hospital ya wilaya, akatibiwa na kupewa dawa, Usiku wa siku hiyo akiwa nyumbani amelala...
Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno ‘hamnazo’ linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya Taarifa ya Habari ya TBC...
Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster...
Alitoa kauli hii kabambe mara tu baada ya kumaliza kuwaapisha wateule wapya kwenye nafasi ya Ukuu wa Wilaya Mkoani Dodoma.
Bila shaka kauli hii kali ililenga kuwakumbusha Viongozi hao wapya...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka atazungumza na vyombo vya habari siku ya leo tarehe 22/06/2021 katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.