Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka atazungumza na vyombo vya habari siku ya leo tarehe 22/06/2021 katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha...
Ni katika kipindi cha siku 100 madarakani, Rais anaachia wahalifu kwa sababu anazozijua. Baadhi ya wahalifu wamekuwa mahabusu tangu awamu ya 4 ya Kikwete wakati Rais Samia akiwa ni waziri tu...
Waziri wa Fedha na Mipango mnachokifanya hivi sasa ni kama vile mna shida sana ya pesa na mmeishiwa ubunifu na sasa mnataka kutuvika Mizigo ya madeni na matatizo ya Serikali kwa gharama yeyote...
Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi..
Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo
Watu waliwahi...
Uongozi wa CHADEMA.
Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA.
Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue...
One of the biggest problem decelerating development of oil and gas sector in Tanzania is negotiation with investors who have willing to make an investiment.
In reality negotiation processes are...
Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139:
11 ni Ph.D sawa na 8%
26 ni Masters sawa 19%
95 ni Bachelor Degrees sawa na 68%
3 ni Diploma sawa na 2%
4 ni ACSEE na CSEE sawa na...
Wadau nimemsikia Waziri akitangaza kuhusu KODI ya Jengo kuwa Kila NYUMBA yenye UMEME Kodi hiyo italipwa Kwa kukataa kwenye LUKU. Naomba kujua Machache.
1. Kodi ya Jengo ni Kiasi gani?
2. Je...
Magufuli aliliona hili mapema
========
Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19
Tanzania has recorded an eight-year high coffee export this season thanks to lockdown which...
Nawasalimu kwa jina la Lowassa
Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila...
Kila zama na wakati wake.
Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao).
Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na...
Vuguvugu Katiba Mpya latikisa mtandao wa Twitter
TUESDAY JUNE 22 2021
Summary
Watu wa kada mbalimbali nchini Tanzania ni kama wameanzisha vuguvugu la kudai Katiba Mpya kwenye mtandao wa kijamii...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria...
Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali.
Nimejiuliza...
Je Ni Halali Kisheria Mtoto Kumpeleka Babake Mzazi Mahakamani Ili Apatiwe Urithi Wa Babake?
===
Mtoto amfikisha Mahakamani Baba yake akidai urithi
Katika tukio ambalo sio la kawaida kwa mila na...
94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo...
Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika.
Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji...
Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi...
Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa...
Wanabodi kiongozi ni kioo cha anaewaongoza. Kazi kubwa ya kioo ni kuangalia mwonekano wako au wa kitu ambacho macho hauwezi ona moja kwa moja. Vivyo hivyo kwa kuwa kiongozi, jamii inayoongozwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.