Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikumbuke kwamba Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani alishatangaza kuwa unit 1 kuuzwa kwa sh 100 sasa inashangaza sana kuona hadi sasa bado kuona umeme katika manispaa ya Shinyanga bado ni gharama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hali ya kuendelea kushangaza mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya chama cha mapinduzi John Magufuli amewaambia wana KARATU kuwa alijenga barabara kilometa 1.5 tu za lami kwa kuwa mwaka...
8 Reactions
89 Replies
9K Views
Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Uzalendo ni hali ya mtu kuwa na uchungu hasa juu ya nchi naJamii kwa ujumla. Shana hii ni Pana na pengine ilipaswa kufundishwa kwenye shule zetu kwa ngazi zote. Msingi wa hoja yangu ni dhidi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumesikia kuwa zaidi ya bilioni 300 zimefyatuliwa na zitaingizwa kwenye mzunguko kwa kuwapandisha vyeo watumishi takribani elfu 70. Hoja yangu hawa waswahili siwaamini kabisa kulingana na...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake...
32 Reactions
75 Replies
5K Views
TRA ni taasisi inayokusanya kodi nchi nzima ikiwemo Zanzibar, na Zanzibar nayo ina taasisi yake ya kukusanya kodi kwa Zanzibar ambayo ni ZRB. Pesa zinazokusanywa na TRA kutoka Zanzibar hupakiwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika product mbovu kutoka nchi ya Kenya ipo sokoni kwenye mzunguko kwa kiasi kikunwa basi ni Viberiti vyao vile vinaitwa Kasuku, aisee ni Product yenye quality mbovu sana! Unaweza tumia njiti...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari...
6 Reactions
83 Replies
8K Views
Huyu mtu, si mwingine bali ni Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni ndiye mkuu wa mkoa wa Dar-Es-Salaam. Huyu jamaa mpaka sasa hata sielewi kabisa kinachomfanya aendelee kuwa na kazi aliyonayo. Ni...
58 Reactions
272 Replies
29K Views
Heshima sana wanajamvi, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na...
45 Reactions
147 Replies
14K Views
Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria. Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nchi imekuwa ya kusadikika kweli, kila siku wanabuni mbinu mpya ya kuwakamua wasiojiweza, wenye uwezo mdogo wa kuendesha maisha yao ili matumbo yao yaneemeke. Baada ya kubuni mbinu za kuwainua...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
BAVICHA wamekuwa wapiga soga wapiga ramli waigizaji wapika majungu wametoka kwenye siasa ziwe za kujenga hoja au za kiunaharakati wamekuwa wapiga majungu ambao wanashindwa kutambua kwamba uimara...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanajamvi, Ninawasiwasi juu ya Bunge la katiba, kwanza kwasasa bunge la Jamuhuri na baraza la wawakilishi ni makundi kati ya makundi mengine katika jamii na mkataba wao kwa wananchi ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine. Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi? Kwa maoni...
4 Reactions
88 Replies
7K Views
Samahanini jamvini, Nani anaujuzi na haya Mambo ya ongezeko la Mshahara , ni kwamba kila mmoja wa civil servant ataongezewa fixed amount katika Mshahara gafi yaani elfu 40,000 kila mmoja ama iko...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom