Swali fikirishi kidogo: Hivi kwanini baada ya TANU na ASP kuungana waliamua kujiita Chama Cha Mapinduzi ?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,549
2,000
Mwaka 1977 Chama Cha Mapunduzi kilizaliwa rasmi hapa nchini, na safari yake ya kutawala nchi za Tanganyika na Zanzibar chini ya mwamvuli wa katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja ikaanza.

Wahusika wakuu wa huu mkakati, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Jumbe Mwinyi hawapo, na nawaombea wapumzike kwa amani huko waliko.

Lengo la huu uzi ni kutaka kujua kinaga ubaga kwanini TANU na ASP waliamua kujiita Chama Cha Mapunduzi. Neno Mapindizi lilikuwa linamaanisha nini haswa ? Ni mapinduzi ya aina gani ambayo waliyafanya au walipanga kuyaleta ?? Tunaomba tuwekewe mifano hai ya hayo Mapinduzi tangu kuanza kwake mwaka 1977.

Je, leo hii bado Chama Cha Mapinduzi kinajihisi kwamba bado kipo Kimapinduzi ? Kama jawabu ni NDIYO basi tunaomba tuelezw ni kivipi.

Kila neno huwa na maana,........
Naomba kuwasilisha.
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,360
2,000
Lengo la kuitwa Chama Cha Mapinduzi ilikua ni kutengenezwa taswira mbili.

Moja, kuifanya Serikali ya Mapunduzi Zanzibar ijione kwamba Chama kipya kimeibeba Historia ya Mapunduzi ya Zanzibar, hivyo kuondoa hisia ya kumezwa kwa kila kitu kama ilivyokuwepo kwenye Muungano.

Pili, ni ukweli kwamba CCM kilikua ni Chama Cha Mapinduzi. CCM haijawahi kufanya Mapinduzi yoyote yale ndani ya nchi. Hivyo kuamua kujiita Chama Cha Mapinduzi kulibeba dhamira yake ya kushiriki na kuongoza harakati mbalimbali za kimapinduzi zilizokuwa zinafanywa na nchi za kiafrika katika kujitafutia Uhuru kutoka kwa Wakoloni.
Hivyo kujiita Chama cha Mapunduzi kulikenga kuimarisha spirit ya kushiriki harakati mbalimbali za mapinduzi nje ya nchi.

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
555
250
Ccm iliitwa chama cha mapinduzi kwa sababu huwa inafanya mapinduzi kwenye uchaguzi

Note
Najua A to Z njinsi wenje alivyoibiwa kura 2015

Hakuibiwa, zilichukuliwa maake alikuwa anaona, alishauriwa mapema to make a deal akagoma. Ndo basi tena
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,744
2,000
Usisumbuke. NI mapinduzi ya kifikra. Kuondokana na fikra tegemezi ili kujikomboa na kuwa na fikra kujitegemea. Hayo ndo mapinduzi tuliyokusudia. Kifupi kuwakataa mabeberu kututawala kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ndio Mana serikali ya awamu ya tano inasimamia hayo mapinduzi.
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,597
2,000
Kujiita hivyo kuna maana kubwa sana, hii ina maana kua hata chama kingine cha upinzani kipite kihalali kwa kura, bado hawatoruhusiwa kuingia ikulu,
Kingine ni kua hiki ni chama cha mapinduzi na hawawezi kufuata taratibu za nchi mfano katiba na sheria mbalimbali, kila kitu kwao ni kupindua au kuelezea kitu kinyume na ukweli, na wanatumia sana propaganda, waweza kuskia tumenunua ndege kwa hela zetu kumbe ni kinyume, waweza kuskia tumefanya kitu sisi ni Wa kwanza kufanya kumbe ni uongo, kiufupi wanatumia uongo mwingi!
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,850
2,000
Jina hilo lilipendekezwa na Hayati Sheikh Thabit Kombo alie kuwa Katibu wa ASP

Jina hilo ni kiashiria cha Mapinduzi ya kifikira na utayari wa Kulinda Dola kwa gharama zote

Huyu Sheikh Thabit alipigwa risasi kadhaa pamoja na Hayati Karume isipokuwa yeye alinusurika Kifo

Ndie alipendekeza jina la Ally Hassan Mwinyi kumrithi Mzee Jumbe
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,549
2,000
Usisumbuke. NI mapinduzi ya kifikra. Kuondokana na fikra tegemezi ili kujikomboa na kuwa na fikra kujitegemea. Hayo ndo mapinduzi tuliyokusudia. Kifupi kuwakataa mabeberu kututawala kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ndio Mana serikali ya awamu ya tano inasimamia hayo mapinduzi.
Hili la mapinduzi ya kifikra limefanikishwa kwa kiwango gani ?
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,549
2,000
Lengo la kuitwa Chama Cha Mapinduzi ilikua ni kutengenezwa taswira mbili.

Moja, kuifanya Serikali ya Mapunduzi Zanzibar ijione kwamba Chama kipya kimeibeba Historia ya Mapunduzi ya Zanzibar, hivyo kuondoa hisia ya kumezwa kwa kila kitu kama ilivyokuwepo kwenye Muungano.

Pili, ni ukweli kwamba CCM kilikua ni Chama Cha Mapinduzi. CCM haijawahi kufanya Mapinduzi yoyote yale ndani ya nchi. Hivyo kuamua kujiita Chama Cha Mapinduzi kulibeba dhamira yake ya kushiriki na kuongoza harakati mbalimbali za kimapinduzi zilizokuwa zinafanywa na nchi za kiafrika katika kujitafutia Uhuru kutoka kwa Wakoloni.
Hivyo kujiita Chama cha Mapunduzi kulikenga kuimarisha spirit ya kushiriki harakati mbalimbali za mapinduzi nje ya nchi.
Nashukuru sana mkuu, lakini sasa unadhani bado hili jina lina umaana wowote ule kwa Tanzania yetu ya leo ?
 
CHOKAMBOVU

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
717
500
Mwaka 1977 Chama Cha Mapunduzi kilizaliwa rasmi hapa nchini, na safari yake ya kutawala nchi za Tanganyika na Zanzibar chini ya mwamvuli wa katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja ikaanza.

Wahusika wakuu wa huu mkakati, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Jumbe Mwinyi hawapo, na nawaombea wapumzike kwa amani huko waliko.

Lengo la huu uzi ni kutaka kujua kinaga ubaga kwanini TANU na ASP waliamua kujiita Chama Cha Mapunduzi. Neno Mapindizi lilikuwa linamaanisha nini haswa ? Ni mapinduzi ya aina gani ambayo waliyafanya au walipanga kuyaleta ?? Tunaomba tuwekewe mifano hai ya hayo Mapinduzi tangu kuanza kwake mwaka 1977.

Je, leo hii bado Chama Cha Mapinduzi kinajihisi kwamba bado kipo Kimapinduzi ? Kama jawabu ni NDIYO basi tunaomba tuelezw ni kivipi.

Kila neno huwa na maana,........
Naomba kuwasilisha.
Mapinduzi ya akili za watu kufanywa mandondocha
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,310

Mpaka TANU na ASP kuamua na kukubaliana Kuungana na Kujiita CCM tambua ya kwamba tayari hapo walikuwa wameshapinduana Kimaamuzi na Kifikra ( japo si kwa Umwagaji wa Damu ) hivyo kuendelea Kujiita Chama cha Mapinduzi wala hakuna Ubaya kwani wanapita mule mule na wanaliishi hilo Jina.
 
kombo alawi

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
231
250
Mwaka 1977 Chama Cha Mapunduzi kilizaliwa rasmi hapa nchini, na safari yake ya kutawala nchi za Tanganyika na Zanzibar chini ya mwamvuli wa katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja ikaanza.

Wahusika wakuu wa huu mkakati, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Jumbe Mwinyi hawapo, na nawaombea wapumzike kwa amani huko waliko.

Lengo la huu uzi ni kutaka kujua kinaga ubaga kwanini TANU na ASP waliamua kujiita Chama Cha Mapunduzi. Neno Mapindizi lilikuwa linamaanisha nini haswa ? Ni mapinduzi ya aina gani ambayo waliyafanya au walipanga kuyaleta ?? Tunaomba tuwekewe mifano hai ya hayo Mapinduzi tangu kuanza kwake mwaka 1977.

Je, leo hii bado Chama Cha Mapinduzi kinajihisi kwamba bado kipo Kimapinduzi ? Kama jawabu ni NDIYO basi tunaomba tuelezw ni kivipi.

Kila neno huwa na maana,........
Naomba kuwasilisha.
TANU ilikua inaongozwa na waislamu, na ASP ilikua hivyohivyo ilipo anzishwa CCM Iliuwa mifumo yote ya harakati za vyama viwili hivi, hayo ndo Mapinduzi yaliofanyika kupindua Uislamu na CCM Kuwekwa chini ya CATHOLIC CHURCH MOVEMENT ambayo ndio CCM
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
23,198
2,000
Mwaka 1977 Chama Cha Mapunduzi kilizaliwa rasmi hapa nchini, na safari yake ya kutawala nchi za Tanganyika na Zanzibar chini ya mwamvuli wa katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja ikaanza.

Wahusika wakuu wa huu mkakati, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Jumbe Mwinyi hawapo, na nawaombea wapumzike kwa amani huko waliko.

Lengo la huu uzi ni kutaka kujua kinaga ubaga kwanini TANU na ASP waliamua kujiita Chama Cha Mapunduzi. Neno Mapindizi lilikuwa linamaanisha nini haswa ? Ni mapinduzi ya aina gani ambayo waliyafanya au walipanga kuyaleta ?? Tunaomba tuwekewe mifano hai ya hayo Mapinduzi tangu kuanza kwake mwaka 1977.

Je, leo hii bado Chama Cha Mapinduzi kinajihisi kwamba bado kipo Kimapinduzi ? Kama jawabu ni NDIYO basi tunaomba tuelezw ni kivipi.

Kila neno huwa na maana,........
Naomba kuwasilisha.
Swali hilo analijua vizuri JKN.
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
13,142
2,000
Jina hilo lilipendekezwa na Hayati Sheikh Thabit Kombo alie kuwa Katibu wa ASP

Jina hilo ni kiashiria cha Mapinduzi ya kifikira na utayari wa Kulinda Dola kwa gharama zote

Huyu Sheikh Thabit alipigwa risasi kadhaa pamoja na Hayati Karume isipokuwa yeye alinusurika Kifo

Ndie alipendekeza jina la Ally Hassan Mwinyi kumrithi Mzee Jumbe
Sheikh Thabit Kombo alifariki mwaka 1986 akiwa na umri wa miaka 86, hii ni kwa faida ya hawa watoto wa facebook, twitter na Iphone10.
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,893
2,000
Moja, kuifanya Serikali ya Mapunduzi Zanzibar ijione kwamba Chama kipya kimeibeba Historia ya Mapunduzi ya Zanzibar, hivyo kuondoa hisia ya kumezwa kwa kila kitu kama ilivyokuwepo kwenye Muungano.
Hii ndiyo ilikuwa sababu kuu ya kutumia jina hilo bahati mbaya yule aliefanikisha muungano huo kwa upande wa Zanzibar Marehemu Mzee Jumbe ndiye alikwa wa kwanza kujua maana yake pale alipotaka kuhoji muungano. Wakampiga pini hadi umauti ulipomfika. Mapinduzi daima!!!!!!!
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,360
2,000
Hii ndiyo ilikuwa sababu kuu ya kutumia jina hilo bahati mbaya yule aliefanikisha muungano huo kwa upande wa Zanzibar Marehemu Mzee Jumbe ndiye alikwa wa kwanza kujua maana yake pale alipotaka kuhoji muungano. Wakampiga pini hadi umauti ulipomfika. Mapinduzi daima!!!!!!!
Hawajawahi hata ku-like...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom