Rais Samia usimsahau Shaban Kissu kwenye mkeka wa ma-DED

SOPINTO

Senior Member
Oct 19, 2020
155
385
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea.

Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama.

KAZI IENDELEEE
 
Kiukweli DED's na DAS's zinatakiwa ziwe nafasi za watumishi wa Umma tu.

Wenye weledi wa kutosha utumishi wa muda mrefu na wenye mafanikio na waliojiendeleza kitaaluma na wenye professional ethics
Tuache siasa sio kila kitu ni siasa jaman
 
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la Mc wa serikali Shabani Kissu bado halijatokea, Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shabani kaishatumikia sana chama na ni mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama.

Kazi Iendelee
 
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama...

KAZI IENDELEEE
Unaanzisha Nyuzi mbilimbili zote Unalilia Shaaban Kisu asisahauliwe kwenye uDED na uDAS huku ukitaja sifa nyingiiii, you sound like Shaabn Kisu mwenyewe. I didn't know that Shaaban kisu ndo Unatumia Username ya SOPINTO.

Hakika Mama anaendelea kutufichulia ID's za watu mbalimbali.
 
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama...

KAZI IENDELEEE

Kwani yeye SHBANI mwenyewe anasemaj!?

Ukute wala hautaki huo u DED🤣🤣
 
MaDED wabaki kuwa watendaji na sio wateuliwa, hawa ni profeesional na sio politicians, wacha wachaguliwe kwa utendaji uliotukuka, haya makosa ya mzee baba yanatakiwa kurekebishwa.
Marehemu ndiye aliyeharibu taratibu na sheria. DEDs wanatakiwa kutoka miongoni mwa watymushi wa serikali waliofikia ngazi fulani. Hizi siyo nafasi za makada.

Mkiendekeza ujinga wa kuteua makada kwenye nafasi za utendaji, kuna siku mtalazimisha hata madaktari na walimu wawe makada.
 
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama...

KAZI IENDELEEE
Watanzania Bwana, fanya kuombea familia yako wenzako washakula mema ya nchi
 
Back
Top Bottom