Habari wadau,
Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa.
Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa...
Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto.
Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo...
Mh. Waziri Ummy Mwalimu. Pamoja na jitihada zako za kupambana na tamisemi, ni vema sasa ukapunguza idadi ya idara zilizopo ndani ya Halmashauri na kuongeza vitengo zaidi ilu kupunguza matumizi na...
Dodoma.
Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri Bungeni mjini Dodoma kuwa walishindwa kufufua viwanda.
Charles Mwijage ambaye ni mbunge wa Muleba Kaskazini...
Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia, mteuliwa huapa kwa Kutumia Kitabu gani au...
Yaani bado kabisa tuna safari ndefu mno Zanzibar walivunjwa miguu na kuuwawa na Utawala wa Magufuli
Watu kwa maelfu wamewekewa vilema vijana kwa wazee.
Haki za hawa watu ukiunganisha na Wa huku...
Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama...
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.
Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi...
Husikeni na kichwa cha habar ndugu wasomaji.
Umewadia muda ambao Taifa la Tanzania linahitaji Katiba mpya na hapa ndipo ambapo kila mmoja anapaswa kuonyesha uzalendo wa kweli.
KWANINI TAIFA LA...
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.
===
Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari...
Hawa wabunge wetu wamejikuta Kama wao sio wananchi, wanajiona Kama wao Ni Daraja jingine kabisa katika jamii.
Wananchi tumewavumilia tukidhanj wao Ni watetezi wetu lakini kinyume chake imekua Ni...
Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa.
Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za...
Kuna watu kwenye mitandao ya kijamii hususani twitter wanaojifanya wana democrasia yaani wao wanataka kila mtu wamtukane na kumsema kwa mabaya na kujifanya wajuaji ila ukiwazidi hoja wanakublock...
Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza .
Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae...
Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu...
"Ukiifuatilia kwa karibu sana katiba yetu, moja ya haki ya raia yoyote wa nchi hii ni kuwa na uhuru wa maoni au mtizamo, kwa hiyo ukikuta kwenye kundi kubwa wachache wanamtizamo kwamba hawana...
Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani...
Mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za SADC wametoa salamu za rambi rambi na kutambua mchango mkubwa wa Magufuli kwenya bara la Afrika.
Soma sehemu ya taarifa ya pamoja ya kikao hicho inayohusika...
Wakuu,tegeni sikio stat Tv muwasikilize waheshimiwa hawa wakiweka hadharani maslahi ya wabunge.
Machali anasema mshahara wake ni sh 3,560,000 kabla ya makato.Anakatwa kodi zaidi ya sh 900,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.