Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amevitaka vikao vyote vya kikatiba vya Bavicha kuanzia Taifa hadi Msingi kuandaa kamati za kudai Katiba mpya. Mnyika amesema ni vema wakajipanga sawasawa kabla...
7 Reactions
89 Replies
6K Views
UKAGUZI maalum unaoendelea kufanyika katika miamala ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umebaini kuwepo kwa ubadhirifu wa zaidi ya milion 520 mkoani Kilimanjaro. Ubadhirifu huo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika. Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina JMT Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba...
1 Reactions
99 Replies
9K Views
  • Closed
VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA...
20 Reactions
134 Replies
11K Views
Habari wana JF. Leo nimefuatilia live wakati Eng. Mfugale anaagwa Dar. Kwa maelezo machache ya familia, idara na wizara ni wazi kabisa Eng. Mfugale alipewa sumu. Wito wangu kwa Serikali ifanye...
16 Reactions
128 Replies
14K Views
Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa. Madhara yake sasa inapofika mwezi wa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
"Watanzania waache kuwekeza sana katika Bajeti za Kunywa Pombe kila mara huku wakishindwa hata tu kukata Bima kitu ambacho nadhani kwa Mtu makini ni muhimu zaidi katika Maisha yake " Chanzo...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Uamuzi wa Mahakama Kuu kwamba warufani hawakuwa sehemu ya maandamano waliyokuwa wakidaiwa kuyaongoza ni mwendelezo wa uchambuzi wa hukumu ya Mahakama Kuu kuelekea hitimisho la shtaka la pili...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi...
90 Reactions
408 Replies
36K Views
Japo mwenyewe alishawahi kukiri kuwa ana ukichaa fulani kichwani lakini wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema Nyongo kutoka huko kanda ya ziwa. Lakini ningependa tujikumbushe kitu...
11 Reactions
74 Replies
7K Views
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akiambatana na wajumbe wengine wa Sekretarieti ya CCM Taifa ameendelea na ziara katika Mkoa wa Mbeya akitokea Songwe. Akiwa katika kikao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiukweli, sioni mwisho mwema wa Mtulia kwani Abdul Nondo kusimamishwa chuo ni kwasababu ya Mtulia. Mh.Mbowe na wenzake kuwekwa mahabusu ni kwasababu ya Mtulia. Kifo cha Akwilina ni kwasababu ya...
34 Reactions
70 Replies
14K Views
Chama cha Mpainduzi(CCM), kimetangaza rasmi kufunga milango ya kuwapokea viongozi, wabunge na madiwani wanaohamia chama hicho kutoka upinzani. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Bara...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba...
36 Reactions
141 Replies
12K Views
Mimi Maulid Said Abdallah Mtulia Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Civic United Front – (CUF) Chama cha Wananchi kwa hiari yangu nimeamua kujiuzulu uanachama wa CUF na kujiuzulu nafasi...
23 Reactions
660 Replies
83K Views
Back
Top Bottom