Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vijana wa siku hizi wana uelewa mdogo, washabiki na wapenda sifa. Vijana naongelea hapa ni chini ya miaka 35 ambao wapo kwenye kundi hizi za umoja wa vijana. Je ni wangapi wamewahi kukupa ushauri...
1 Reactions
0 Replies
700 Views
HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA Na, Robert Heriel Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba. Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi...
37 Reactions
160 Replies
10K Views
Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada...
28 Reactions
127 Replies
11K Views
Kuna habari kuwa DCI ametenguliwa uteuzi wake. Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation – DCI), Diwani Athuman...
1 Reactions
355 Replies
81K Views
Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa...
11 Reactions
106 Replies
13K Views
MNEC Haji Jumaa amesema katika kipindi chake cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, Halmashauri kuu ya CCM haijawahi kukaa kwa lengo la kuielekeza Serikali bali walikaa kupokea maelekezo ya...
22 Reactions
53 Replies
6K Views
Asema utaratibu wa Sasa ni rahisi ata kusafirisha wahamihaji haramu. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha kuanzia Sasa Mabasi yote yanashusha...
5 Reactions
178 Replies
17K Views
Huku Diallo, kule Mtaka. Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili. Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania. Hebu Pascal...
6 Reactions
69 Replies
5K Views
Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI! Mara alipoanza kazi kama kamishna jenerali wa jeshi la zimamoto, AFANDE ANDENGENYE, alianza rasmi kufanya kazi kisayansi na kutafiti kihusu uwezo wa...
9 Reactions
58 Replies
9K Views
Nimetazama clip inayozunguka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na umuhimu wa makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi kwa ajili ya kujiandaa na mithnani ya kitaifa. Wapo watu ambao wanananga kauli...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Nimesoma na kupokea maoni,ushauri na kila aina ya hisia ambazo naamini ni kwa upendo juu ya Clip yangu kuhusu kambi za Kitaaluma nilipokuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye...
17 Reactions
256 Replies
18K Views
Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway. Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita ...
27 Reactions
72 Replies
7K Views
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli. Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu...
29 Reactions
145 Replies
11K Views
Wakati Tundu Lissu kabla hajashambuliwa kwa risasi alikuwa analalamika kuwa kuna gari inamfuatilia. Sisi ambao siyo wanaintelijensia tulikaaa kimya kusubiri majibu ya wataalam na viongozi. Na...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu, "Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni"..Leo ukijutana na kiongozi yeyote wa Chadema au wafuasi utasikia "Kenya na Uhuru ni wema sana,wanajua demokrasia". Kwa wengi siwashangai...
9 Reactions
50 Replies
6K Views
Chama Cha Mapinduzi kimesema kinathamini, kinaheshimu na kuuunga mkono uhifadhi wa maliasili na uoto wa asili katika hifadhi za taifa, mapori ya akiba na misitu nchini. Pamoja na hayo kimesema...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
OMBI KWA VIONGOZI WETU WA CCM SEHEMU YA KWANZA. Na Frey Cosseny Niwaombe viongozi wetu wa Chama Cha Mapinduzi mnapomuongelea Hayati Mwenyekiti wetu Taifa Dr. John Pombe Joseph Magufuli muchukue...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom