Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA...
24 Reactions
115 Replies
9K Views
“Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President. Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
KWANGU MIMI #Yona IWE ANTHONY #DIALO AMEFANYA KOSA AU HAJAFANYA KOSA, ILA KUNA FUNZO KUBWA KWANGU NA NI FUNZO KWA VIONGOZI Naa Joseph #Yona #DIALO ambaye mwaka 2015 alikuwa mjumbe wa vikao vya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama...
7 Reactions
29 Replies
45K Views
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea. Kwa Taarifa za ndani...
17 Reactions
97 Replies
8K Views
Tanzania haijawahi hata mara moja kukabiliana na majanga kwa namna ya kuridhisha. Ni kwa nini? Kila wakati likitokea janga, Serikali inakimbilia kuunda kamati ambazo hazijawahi kutatua matatizo...
18 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu M/kiti Wa CCM Mkoa Wa Mara namba tatu amemshauri Rais Samia Kuwaondoa Wateule Wote Wa Hayati Magufuli Maana Sio Wote Wanampenda.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Akiwa anamalizia siku ya pili ya ziara yake Mkoani Morogoro Rais Samia ametoa ufafanuzi juu ya ongezeko la bei ya mafuta ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi mitandaoni Katika hili Rais Samia...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Aliposema haya na mengine mengi yenye maslahi ya umma, viongozi wetu dhaifu, wafupi wa kimo na upeo walimbeza, wakamdhalilisha na kumtweza Prof Assad... leo Zimamoto wanakwambia "tulizima moto...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Wote tunajua tatizo la utapeli mitandaoni, kero za simu na sms za kutapeli, wengine wamekwepa mitego wengine wamepata hasara. Wote tunakumbuka taabu ya kupanga foleni NIDA kutafuta namba ili line...
3 Reactions
8 Replies
944 Views
Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo. 1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere? 2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa...
13 Reactions
138 Replies
23K Views
Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwako mheshimiwa Rais Mama Samia ni muda sasa na huu upande wa majeshi nao ukumbukwe kupewa ajira ambazo moja kwa moja zinawahusu hawa vijana wetu walio jitolea huko jeshi la kujenga taifa (jkt)...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wabunge wa CCM mnachowafanya Bashiru na Humprey Polepole ni kuwadhalilisha, Kumbukeni hawa watu ndio mliokuwa mnawaheshimu kwa kuwa karibu na Mwenyekiti. Yanayoendelea Bungeni kunanga miradi ya...
55 Reactions
101 Replies
16K Views
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi...
6 Reactions
114 Replies
9K Views
Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ndugu Anthony Diallo kuamua kukisema vibaya chama na viongozi wake ni kitendo kibaya kwa maadili na ustawi wa chama. Watu wa aina hii wanafanya hivi...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Mh Dkt. Magufuli hongera kwa ushindi mnono kwa asilimia kubwa kabisa, haijawahi kutokea na haitakuja kutokea. Mkuu piga kazi, wapinzani wameshapoteana, ndio walikuwa kikwazo kwako na majimbo yote...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawasalimu wote mnaoanza kusoma ujumbe huu. Salamu za kipekee zimfikie Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake anazozifanya katika kupambana na kurudisha umoja wa kitaifa na...
1 Reactions
8 Replies
935 Views
Marais walioacha legacy huandaliwa midahalo. Lkn wale wenye legacy' za kubumba....NEVER!. Wenye akili mshaelewa maudhui ya uzi huu.
16 Reactions
45 Replies
5K Views
UCHUMI KWANZA, KATIBA ISUBIRI. ACHENI CHOKOCHOKO. Ilikuwa asubuhi na mapema mwezi uliopita wa Sita mwaka huu 2021 naamka na kukutana na ujumbe wa simu kutoka kwa rafiki yangu James Michael, Afisa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom