Anaandika Mwl M.H .#Wage kuhusu mafanikio ya uwekezaji wa #JPM katika sekta ya Afya.
Serikali ya awamu ya tano imefanya mengi mazuri katika kuboresha sekta ya afya kuanzia upatikanaji wa huduma...
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.
Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za...
Wakuu Kwema!
Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.
Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?
Karibuni tujadili.
"Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?"
"Katika majadiliano hayo ndipo...
Haujambo mwana JF mwenzangu wa jukwaa letu pendwa la siasa. Ni matumaini yangu unaendelea kupigana vizuri na changamoto za maisha hasa kwenye uchumi huu ulio dorora kutokana na changamoto za...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama...
Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya.
Tukiweka wanasiasa...
Baada ya M/Kiti wa BAVICHA Iringa ,Ndugu Vitus Nkuna kualalmika kuwa Hospitali ya Mkoa ya Shinyanga ina Scarcity ya mitungi ya gesi ya Oksijen na wagonjwa wa Corona kuwa wengi, hatimaye mkuu wa...
Huu ni ushauri tu,
Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu...
Kama ndizo drones hizi walizotaka walete wale jamaa wakasiribwa kwelikweli basi waomnbwe msamaha haraka sana maana(siwatetei kwenye ufisadi wao ila kwa hili it was a good idea) kuna siku Kariakoo...
Wana JF,
Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa.
Kwa sasa shule za Romani na...
Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi.
Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake.
Hatua hii...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao...
1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)
2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?
3. Moshi Mjini...
Mh Rais, Bwana asifiwe!
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi...
-Ataka Barabara zote za kuingia Soko la Kariakoo zibaki wazi.
-Wafanyabiashara Wa Shimoni washauriwa kuhamia Soko la Kisutu na Machinga Complex na amewapa ofa ya kutolipa Ushuru kwa miezi miwili...
Kama Hayati Baba wa Taifa Alisema ili TUENDELEE tuna hitaji Vitu 4 Ambavyo ni
Watu
Ardhi
Viongozi
Siasa safi
Vitu ambavyo Tunavyo lakini sasa ni Miaka 60 Tupo pale pale hakuna cha Maendeleo...
Na Mwandishi Wetu,
Busokelo-Rungwe
*Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha
Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe.
*Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao
Chama cha Mapinduzi...
Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.