Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba...
36 Reactions
141 Replies
12K Views
Mimi Maulid Said Abdallah Mtulia Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Civic United Front – (CUF) Chama cha Wananchi kwa hiari yangu nimeamua kujiuzulu uanachama wa CUF na kujiuzulu nafasi...
23 Reactions
660 Replies
83K Views
Dar es Salaam. Abdallah Mtolea, aliyepitishwa na CCM kuwania Ubunge wa Temeke, leo Alhamisi Desemba 20, 2018 amepita bila kupingwa baada ya wagombea waliokuwa wamechukua fomu kuwania nafasi hiyo...
8 Reactions
86 Replies
16K Views
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea wa Chama cha CUF ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho pamoja na kuachia nafasi yake ya Ubunge kuanzia hivi sasa. Mtolea ametangaza uamuzi...
10 Reactions
252 Replies
49K Views
Najiuliza kwanini inakuwa vigumu kuitawala Tanzania? Tatizo nini hatuna watu au hatutaki kutumia Ukweli? Ushauri? Katiba? Sheria? Mpaka leo nashindwa kuelewa kwanini inakuwa ngumu kuitawala...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukisikia 'Kauli Tata' za CCM tangu kipindi cha chama kimoja hutokea sijui kwa bahati mbaya au kuna uchawi pale Uwanja wa Samora Iringa Kuna kauli tata zimewahi kutolewa pale Iringa uwanja wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu, Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu amewapongeza na kuwashukuru Wananchi kata ya Miuta na maeneo yote ya Tarafa ya Mihambwe kwa kujitolea kwao kwenye ujenzi wa...
1 Reactions
5 Replies
651 Views
UVCCM WAMEMTISHA DKT. ANTHONY DIALLO NA AMEKUBALI KUTISHIKA! Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Dkt. Anthony Diallo alizungumza na kutoa maoni yake na ulimwengu umemsikia. Alipokuwa...
20 Reactions
72 Replies
6K Views
By Pascal Mwakyoma TZA Mwalimu wa Shule ya Sekondari Momba, Shela Mwangoka amesimamishwa kazi na Naibu Waziri wa TAMISEMI David Silinde kwa kudaiwa kumtusi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...
9 Reactions
75 Replies
10K Views
Nimebahatika Kusikilizishwa 'Kiduchu' aliyoyasema ( kwani ni Kipindi kilichorekodiwa ) na kitaruka leo Jumatatu Saa 3 Kamili Usiku na kwa nilivyomsikia ni wazi Mzee Warioba kuhusiana na Suala la...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Wasalaam, Ndugu zangu nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Mawaziri na manaibu waziri, kiukweli nachelea kusema Patrobas Katambi anaitendea haki sana nafasi take pamoja na kwamba kuna changamoto...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu...
12 Reactions
148 Replies
8K Views
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza rasmi kuanza kwa kampeni ya nyungu season 3. Amesema hayo akiwa mkoani Tabora katika ziara ya kikazi Rais mkoani humo. Waziri jafo alinkukuliwa...
15 Reactions
111 Replies
14K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa dhidi ya hayati Magufuli. Ni wazi kabisa kuna chuki kubwa dhibi yake. Na ukichunguza kwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya viongozi badala kusimama kwenye nafasi zao kufanya kazi wamekalia kuwasema watu ndio maana mnaleta uzembe mpaka watu wanapoteza mali zao. Rais amewaweka mmsaidie kufanya kazi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Tunakumbuka kuwa mwisho wa mwezi wa 5 mkuu wa mkoa Dar aliitisha vikao mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi mbele ya camera na kuja na mapendekezo ya kuisuka upya Dar na kuwapanga upya machinga kwa...
1 Reactions
5 Replies
989 Views
Back
Top Bottom