Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.

Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.

Tafiti za kisayansi zinaonyesha hata ziara za haki digital walizofanya hazijazaa matunda na sasa ndio wamepuuzwa kabisa na watanzania.

My take: Ipo haja ya kusomesha vijana kama akina Mdude hata online courses ili wafahamu sayansi ya siasa.
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.

Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Sasa wenyewe wanakuja kudai katiba mpya kwakuwa akina sugu waligaragazwa kwenye sanduku la kula. Ulidhani raia yupi atawasikilizaa?
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.

Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Mawazo yako ndio batili, unalolitamani ni sawana dua la kuku, ona mnavyokongotwa kwenzi za kidigitali, si viwavi na hata wengine mnahaha.
 
Shida yao ni moja, hawashikilii jambo moja.

ila tu lile linalowapa kick.
 
shida yao ni moja,hawashikilii jambo moja.

ila tu lile linalowapa kick.
CDM wanatuangusha sana, leo wameshahama kwa Dialo wamehamia kwa Warioba. Sioni mkakati endelevu ndani ya chama hiki. Yaani mwaka 2021 ambapo njia rahisi na nafuu ya kuwafikia wananchi ni IT (wenzao CCM wanaitumia vizuri), wenyewe wanalilia mikutano ya hadhara (method ya 2010 kushuka chini).
 
Kwa mar
Muda huu ni muda wa sala, ni muda wa tafakuri na muumba wako, wewe unaamka na nyege za Chadema. Haya sasa umemsikia Mzee Warioba kuhusu Katiba?
Kwa mara ya kwanza ndo unamsikia warioba?

Warioba alisha puuzwa kitambo, kwa sababu enzi zake hakuwahi kuheshimika maana alipingwa hata na akina wasira na kuangushwa kwenye ubunge.

Ana misimamo yake lakini hiyo pekee haiwezi kuongoza nchi.

Kwa sababu hata wakati akiwa mbunge na wazili hakuwahi kufanya chochote katika jimbo lake, ina maana alishindwa kuongoza jimbo, na hana cha kukumbukwa.

Ukienda ikizu huwezi kuta kitu cha kumkumbuka kwamba alisababisha kitu hicho kuwekwa.
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.

Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.

Tafiti za kisayansi zinaonyesha hata ziara za haki digital walizofanya hazijazaa matunda na sasa ndio wamepuuzwa kabisa na watanzania.

My take; Ipo haja ya kusomesha vijana kama akina Mdude hata online courses ili wafahamu sayansi ya siasa.
Wewe ni mjinga na propagandist kama boss wako JPM.
 
Back
Top Bottom