Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,598
6,012
Japo mwenyewe alishawahi kukiri kuwa ana ukichaa fulani kichwani lakini wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema Nyongo kutoka huko kanda ya ziwa. Lakini ningependa tujikumbushe kitu ukiachilia mbali umwagaji huo wa Nyongo. Kuna walakin labda sababu ya chuki za kisiasa hapa ama yasemwayo yanaweza kuwa sahihi kwani kauli za hii tabia ya kaka zimesemwa na wengi na sijawahi kuona kaka mkubwa mwingine akisemwa kwa mifano hiyo. Ama labda ukichaa, au huo uMirembe unahusishwa na uchapakazi wake. Sijajua bado lakini unahitaji kujua why walituambia haya na bado wanatuambia haya kuwa kichwa ya kaka ilikuwa inaingiza "Miss"

Nachelea kujiuliza kwa maana suala la tatizo kwenye ubongo limekuwa likihusishwa sana na kaka tangu hata hajakalia kiti cha Jamuhuri.Naomba mtukumbushe wengine waliwahi kunena yapi kuhusu Ubongo wa kaka mi naanza na hawa:

Mh. Sumaye aliwahi kusema hadharani 2015 pale Jangwani wakati wa kampeni kuhusu haya mambo ukichaa na Mirembe na uhusiano wa shujaa wa Africa (alisema alikuwa bosi wake, anamfahamu vizuri)..
Hatukuelewa

Tukiwa Geita pia 2015, Mzee kingunge aliwahi kusema "Magufuli anaakili za kinyampara hivo hafai kuwa Rais, Abaki kuwa Nyampara wa mabarabara."
Watu hawakuelewa

".Ndio Maana Nilipotoka Pale Nikaona Nitafute Waziri Ambaye Atakua Ni KICHAA KICHAA Kama Mimi." - John Pombe Magufuli (4/9/2018)
Nahisi nimeelewa leo

Autodidacts,Jun 26, 2021​

Omusolopogasi said:
Kwa kweli alikuwa ni "rahisi" mwenye kichaa... Hakuwa na akili ya kawaida. Nadhani waliokuwa karibu sana naye wanajua kuwa alikuwa kichaa...
......... alikuwa ni psychiatric case kabisa na hili wenzake walilijua ndio maana walikuwa wanamuogopa,imagine unarudi kazini unamkuta kichaa sitting room na ana bastola...ndicho kilichotokea Tanzania

Huihui2, Jun 29, 2021​

Jasmoni Tegga said:
Tuliwaambia .... ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu
Hivi maana ya neno Best imebadilika siku hizi?
...... alikuwa ni kichaa tu ambaye akina Kikwette na Mkapa walipuuza ushauri wa Mama yake mzazi. ......alikuwa ni kichaa, mwongo,................




 
Sijawahi kumwelewa.

Anakula pushup huku anaishi kwa remote.

Anasema mabeberu, vita vya uchumi huku anawakaribisha mabalozi ambao ni wazungu(mabeberu ilikuwa lugha ngumu sana)

Hata checkup ya afya yake alishindwa kwa kuwa na element za ubeberu.

Anatumia simu ambayo teknolojia wameshika hao mabeberu.

Sikumuelewa na sitamuelewa.
 
Wakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua dhahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati, mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya CCM yakatoka milion 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!

Tunamuonya Diallo, yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho, ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi.
 
Vichaa wapo kila mahali mkuu, hata CHADEMA hawajawahi kujenga shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu nyingi kuthibitisha uongo sio sawa. Kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
 
Vichaa wapo kila mahali mkuu, hata chadema hawajawahi kujenga , shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu vyingi kuthibitisha uongo sio sawa.kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
Na wewe unaonekana kichaa mwenzie.
 
Sijawahi kumwelewa.
Anakula pushup huku anaishi kwa remote.
Anasema mabeberu,vita vya uchumi, huku anawakaribisha mabalozi ambao ni wazungu(mabeberu ilikuwa lugha ngumu sana)

Hata checkup ya afya yake alishindwa kwakuwa na element za ubeberu.
Anatumia simu ambayo teknolojia wameshika hao mabeberu.

Sikumuelewa na sitamuelewa.
We Ushaambiwa ni kichaa sasa unatafutaje kumuelewa?
 
Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
 
kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Yeye mwenyewe alikuwa zaidi ya mpigaji, jambazi sugu baba wa Sabaya na Makonda.... mwezi mchanga org huyo anajulikana, ni vile kichaa chake kilikuwa kinadhibitika hivyo kuna kipindi anakuwa poa na akicharuka mnaokota maiti kwenye viroba.
 
Sijawahi kumwelewa.
Anakula pushup huku anaishi kwa remote.
Anasema mabeberu,vita vya uchumi, huku anawakaribisha mabalozi ambao ni wazungu(mabeberu ilikuwa lugha ngumu sana)

Hata checkup ya afya yake alishindwa kwakuwa na element za ubeberu.
Anatumia simu ambayo teknolojia wameshika hao mabeberu.

Sikumuelewa na sitamuelewa.
Kama ambavyo alikuwa Rais wako na bado ukawa unamnyea.
 
This very strange world.

Mwaka 2016 nilizozana na mzee wangu mmoja aliyekuwa na wadhfa mzito serikalini. Alinisimulia habari ya mama ya Jiwe kuwa, mara baada ya uchaguzi Oktoba 2015, mama huyo alipigiwa simu na mmoja wa ndugu wa Jiwe aliyemtaarifu kuwa mwanawe JPM ameshinda uchaguzi na hivyo kuwa Rais wa JMT. Akasema mama aliduwaa kwa muda halafu akajibu kwa mshangao "haa, wamempa John uRais? Wanamfahamu lakini?". Kisha akaeleza kwa kifupi matatizo yake ya "stability".

Sikukubaliana na hii habari. Niliiona kama "imetanuliwa" - a stretch. Nilishawahi kufanya kazi Ujenzi JPM akiwa Naibu Waziri. Alikuwa msumbufu sana asiyetaka kufuata taratibu wala taaluma. Akibanwa kwenye masuala ya kitaaluma, sheria na taratibu alikuwa akikimbilia kusimamisha watu kazi. Lakini haikunijia akilini kwamba hakuwa "sawa" kichwani. Baadaye nilikuwa nikisikia madai ya tatizo la "stability" ya jamaa yakisemwa mara kwa mara.

Sasa baada ya hii habari ya Diallo nimeondoa chembe chembe zote za mashaka. No benefit of doubt at all. Nchi ilikuwa na kiongozi wa hatari sana. Majuzi katika mahojiano fulani, Prof. Asad (former CAG) alihitimisha maoni yake kwa kusema JPM hakuwa na nia nzuri kwa nchi hii. Nakubali.

Kama CCM watafanikiwa kuendelea kushikilia ukiritimba wa uRais wa JMT kibabe, basi liwe ni suala la dharura kabisa kuwabana wahakikishe utaratibu wao wa kupitisha mgombea uRais unatuhakikishia tunakuwa na Rais mzima kweli kweli. Tunapohangaika na katiba mpya na tume huru tusije tukajisahau muda ukapita bila maelewano halafu tukapata janga lingine.
 
Kuna tukio lilitokea jumba jeupe, Magu alisikia kelele za kawaida za ubishani sitting room walikuwepo wageni wake toka Chato wanabishana,Magu akachukua bastola akamlipua mmoja kichwani mwingine akakimbilia nje. Akaamuru walinzi waite mzoga sitting room,he was such a psych

Labda kashfa na uzandiki kama huu unakunufaishaje?
 
Kuna tukio lilitokea jumba jeupe, Magu alisikia kelele za kawaida za ubishani sitting room walikuwepo wageni wake toka Chato wanabishana,Magu akachukua bastola akamlipua mmoja kichwani mwingine akakimbilia nje. Akaamuru walinzi waite mzoga sitting room,he was such a psych
Thibitisha hii hadithi yako!!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom