DKT. Mollel: Rais Samia ametoa bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,558
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
 
Hatari sn
 
Kwani Raisie anapewa zake binafisi za kutoa?
Acha utaga.
 
WANUAIKA WATAPATIKANAJE...SASA WENGINE TUNA MIAKA 60 PLUS TUTAJULIKANAJE
 
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu.
 
Pesa zetu jamani sio za Samia. Hawa wafuasi wa mwendazake aliwaathiri sana.
 
Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu.

Mambo ya kijinga sana,mtu unaweza kufikiri familia ya Samia au Samia mwenyewe ni tajiri mkubwa kaamua kutoa fedha zake binafsi kumbe ni kodi zetu.

Hii nadhani ni civic form 2,lazima ujiulize Waziri mzima alikuwa na maana gani !.Anamdanganya nani na kwa faida ya nani ????.
 
Hii tabia ya kusema Rais fulani ametoa shs fulani ni mbaya sana. Inatengeneza kutukuza mtu kuona ndio mwenye hela. Kwanini msiseme serikali imetoa kiasi fulani? Tengenezeni taasisi imara na sio utukufu kwa watu.
Hata sijui kwa nini tena inafaa kusema serikali imetenga. Huku kujipendekeza kisa vyeo mh.
 
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Dkt. Mollel baada ya kutimia bei na kupewa unaibu waziri amekuwa mpumbavu sana heri hata changudoa!
 
Ukisoma between line mheshiniwa anatuambia kuna ubadhilifu sana NHIF. Hii mifuko sijui pension sijui bima hua inawanufaisha zaidi watumishi wa hizo taasisi kuliko wanachama wanaochangia
UKWELI MTUPU

Viongozi wa NHIF ni wezi sana.
 
Hata Bakhresa hawezi kutoa hizo. Sembuse Samia?

Back
Top Bottom