Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za...
29 Reactions
441 Replies
38K Views
Utaratibu kwa wote watakaohudhuria ni ule ule wa kufuata mwongozo wa WHO ili kudhibiti maambukizi ya Virus vya Corona
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu! Katika Nchi zilizoendelea na zinazoendelea suala la utawala bora na uwajibikaji ni kipaumbele cha kwanza ambacho kinawezesha nchi kuleta matokeo chanya mfano kwa hapa Tanzania suala...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake Tunakumiss ila...
24 Reactions
113 Replies
8K Views
Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania. Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage...
20 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni kitu kizuri kuichambua katiba na kuitendea inavyotaka maana miaka na miaka lazima kabita inaweza kubadilika hila si kwa wote kulingana na nchi. Tukija kwenye katiba ya zamani bado kuna sehemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu. Jambo ambalo lipo wazi ni kwamba watanzania ni watu WABINAFSI SANA na watu wenye kufuata maslahi. Jambo lingine ambalo lipo wazi ni kuwa KATIBA mpya ni jambo lisilo zuilika...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaukumbi! Lissu alikuwa wapi siku zote hadi aje sasa kusema hivi? Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii? Rais kikwete aliwahi kusema CHADEMA...
13 Reactions
156 Replies
14K Views
Kama kuna watu wanaona kwamba "kutumbuliwa" kwa Dr. Mwele Malecela hakuna mashiko kwa kuwa yeye alitoa tu taarifa ya kitafiti kwamba kuna watu wana virusi vya Ugonjwa wa ZIKA hapa Tanzania, basi...
2 Reactions
68 Replies
17K Views
Mpango wa shule za sekondari za kata nadhani ulikuwa na nia njema sana japo sijaijua moja kwa moja kwa sababu mimi nilimaliza shule ya msingi 1998 wakati shule hizo hazikuwepo. Ila kuna jambo...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Kwenye katiba ijayo hebu huku kwenye serikali za mitaa,vijiji na vitongoji katiba iwe inaruhusu wagombea binafsi Kwasababu kuna watu wanakua wanakubalika na wanafaa kua viongozi ila kwakua...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Wananchi wanaunga mkono demokrasia si kwa sababu ni kitu muhimu kwa chenyewe, bali pia wanatarajia demokrasia iwapatie maisha bora ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Hili lilionekana wazi sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utafiti wangu umebaini kwamba kunahela za MIKOPO hii ya harmashauli inapotelea kwa wananchi AMBAO kwasababu za kukosa uwered wa kusimamia MIRADI hela zile hua zinakufa kwakukosa uzoefu wa biashara...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Covid19 ni virus? Kama ndivyo Virus : Non living organism outside of the host cell (si kiumbe Hai nje ya seli ya kiumbe hai) Mate hayana seli za kumuhifadhi(to host) kirusi. Je! Ni kwa namna...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mkuu Wa Mkoa mheshimiwa Kafulila, kwanza hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, hiyo ni heshima kubwa kwa kuwa wengi walistahili ila wewe neema imekudondokea. Mkuu wangu umepewa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi. Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom