Pendekezo: RC Antony Mtaka ateuliwe awe Waziri wa TAMISEMI

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
375
1,000
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
 
BLACK_HERMIT

Member
Nov 21, 2015
63
125
Nadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.

Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,593
2,000
Huyu jamaa nashangaa anapewa hipe Sana , Kwa kazi ipi aliyoifanya aisee , huyu hata mwaniri mstaaf wa Tabora hamzidi ....sioni uongozi wa huyo Mtaka Zaid ya maneno ya mtandaoni ......sioni chochote Kwa huyu Mtaka labda niorodheshewe mambo aliyoyafanya kuweza kufika rank anayopewa ...jamaa yupo overrated Sana
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
7,937

Kibaya zaidi ya huyu jamaa ni hiki anachofanya kulipa watu Kuna kumshambulia mitandaoni.
Watu wa simiyu wanajua alichokuwa akifanya huko, asifikiri kuwa watu wamekaa kimya hawamjui
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,256
2,000
H
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
afa hata uongozi wa kijiji.
 
sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,118
2,000
Nadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.

Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
Alikuwa mafichoni kusikokuwa na cameras ikambeba kuonekana mtulivu na mchapakazi, sasa vile yupo mjini, uhalisia wake utajulikana.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,851
2,000
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Hapana nadhani mama ana mawaziri wachapa kazi na ni mapema sana kuanza kujudge mawaziri wapya sababu miongozo ya kazi imebadilika kutoka kwenye serikali iliyopita na ya sasa hata culture ya uongozi imebadilika.

Antony Mtaka ni kiongozi mzuri lakini akae palepale pia panamfaa zaidi.

Zamani tulikuwa na wakuu wa mikoa nguli na hawakutaka uwaziri maana wao walikuwa na heshima hata zaidi ya baadhi ya mawaziri mfano mzee Isidori Shirima na Daniel Njoolay na wengine. Hawa watu sio kwamba hawakuwa na uwezo Ila uwezo wao ulihitajika huko chini pia na walikuwa wanasikilizwa sana.

Najua huyu RC ni piga kazi na ana haiba ya uongozi wenye kujali miiko ya kazi lakini atatufaa mbeleni wacha alambe mauzoefu zaidi, kumbuka yeye sio mbunge so akiwa waziri na baadae ikatokea reshuffle halafu bahati mbaya akatupwa itakuwa pigo kubwa kwake katika mbio za siasa.
 
Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
375
1,000
Nadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.

Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
Weka ushahidi
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,383
2,000
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Ngoja kwanza japo sikupingi , binafsi nilitaka awe makamu wa Rais, ila juzi wakati wanakabidhiana ofis niliona asili ya kujiamin zahidi, na Kama anapandisha mabega, so namkubali ili ngoja kwanza tumpime ,simuyu kafanya vizuri wacha tumuone makao makuu kwanza ila sifa za kiongozi bora anazo kiroho
 
Simiyu gani aliyofanya vizuri? Tafuta watu waliopo huko wakuambie ukweli alivyokuwa analazimisha mambo yake ili apige pesa
 
Erick Kalemela

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
796
1,000
Ndgu acha majungu
Weka fact hapa.
Nadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.

Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
 
Roy Logan

Senior Member
Jan 22, 2021
142
1,000
Kwani hii Nchi nani sio mpigaji, labda sisi tunaohangaika na keyboard hapa JF, maana naona kila kiongozi anayeinuliwa kuna watu wanajua udhaifu wake, mara kaiba, mara mitandao inambeba, mara kala hela za mradi, hii Nchi ni ngumu.
 
LURIGA

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,033
2,000
Simiyu gani aliyofanya vizuri? Tafuta watu waliopo huko wakuambie ukweli alivyokuwa analazimisha mambo yake ili apige pesa
Kwa nini unasema tafuta watu waliopo huko wakwambie ukweli ina maana wewe hujui unachokisema? kama unajua ukweli si usema hapa kwa nini uhangaishe watu humu kutafuta ukweli kwa watu wa simiyu. Hiyo ina maana unapiga bla bla tu hapa huna point.
 
sambulugu

Senior Member
Jun 1, 2021
165
250
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Mtu akijua sana kuongea maneno matamu unaamini kuwa ni kiongozi mzuri? kwa hiyo Ummy kaharibu nini? Namuona Mtaka kuwa ni kiongozi sawa lakini ni mtu wa falsafa zaidi kuliko matendo ndo maana hata Simiyu mradi wa Barabara kutoka bariadi hadi maswa ni ubababishaji tu hakuna ukamirishaji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom