Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

Zakamwamoba

Senior Member
Jul 28, 2016
177
609
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.

Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.

Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya

Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.

Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.

Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
 
Sawa sawa.

Screenshot_20210328-162203.jpg
Screenshot_20210328-145853.jpg
 
Wewe ulikua brainwashed na yule mchawi....
 
Back
Top Bottom