Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila shaka hamna chama tawala barani Afrika kinachoenjoy upinzani dhaifu kama CCM. Chama kikuu cha upinzani nchini, Chadema ni moja ya vyama ambavyo unaweza kuviendesha kisaikolojia kutoka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mahakama imewaachia huru wanachama watatu wa CHADEMA miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunapofanya siasa zetu tuwe tunaangalia kwa makini factors zote badala ya kukurupuka tu kwa mihemko. Kuna watu wanakubalika kwa wananchi vile vile walivyo bwashee Naangalia Rais mstaafu wa...
10 Reactions
88 Replies
6K Views
Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Alichosema na kugusia Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo majuzi juu ya baadhi ya mapungufu ya utawala wa Awamu ya Tano yanaungwa mkono na sisi wapenda chama. Chama ni mawazo ya wanachama na si...
16 Reactions
41 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
“Zana za zimamoto ziko outdated , Fikiria Moto uanze PSPF tower floor ya 20 hakuna gari litazima moto kule,Isipokuwa drones,kwa bahati mbaya waliomuelezea mkuu wetu walimdanganya kuwa drone ni...
17 Reactions
47 Replies
6K Views
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Jiji. Chama Cha Mapinduzi kimesema Utulivu na uimara wa CCM ni matokeo ya kuimarika kwa demokrasia ya ndani ya chama hicho hivyo viongozi na wanachama wamesisitizwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wa na jamvi, Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe. Ikumbukwe walimu hawa ni wageni...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?" Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya...
12 Reactions
109 Replies
8K Views
Hivi hili suala la Katiba mpya mbona Kama viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani pamoja na mzee jaji mstaafu Warioba ndo Kama wao wanaliongelea ili hali mtaani huku wananchi wa kawaida ni...
0 Reactions
5 Replies
657 Views
Mamba aliyepo kwenye kina kirefu kuanzia Jumamosi ijayo atakuwa Jimboni Iramba akitembelea kata na tarafa zake kwa ajili ya kupongezwa na wanaCCM kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na pia...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa...
15 Reactions
89 Replies
8K Views
"Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 13, 2021 kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa wa Morocco Nasser Bourita na Waziri Mkuu wa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimesikiliza tangu mwanzo kumbukumbu ya Hayati Benjamin William Mkapa. Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu kama hii na kuiendesha kwa lugha ya kingereza? HAPANA. Waandaaji wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Binafsi kuhusu #KatibaMpya, nataka ije leo kesho ila ambacho SITAKI ni kuanza upya kwa mchakato yaani tuanze tena kuchukua maoni ya wananchi na kutengeneza rasimu nyingine,nachotaka ni zile Rasimu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto...
12 Reactions
120 Replies
10K Views
Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Uongozi ni kitu cha asili na viongozi wapo kwaajili yetu wananchi na wao hawakupaswa kulipwa mishahara zaidi ya serikali kuzingatia viongozi wanapatiwa huduma za chakula, afya, maji, umeme n.k ...
1 Reactions
2 Replies
973 Views
Back
Top Bottom