Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: “Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na...
15 Reactions
218 Replies
15K Views
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu. Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa...
13 Reactions
68 Replies
5K Views
Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi...
14 Reactions
61 Replies
5K Views
Anthony Mtaka RC wa Dodoma na mwanasiasa ambaye huwa amezoeleka kuonekana mtulivu katika uzungumzaji wake ameonekana katika moja ya clips iliyozagaa mtandaoni wiki hii akifoka sana kuhusu maagizo...
15 Reactions
214 Replies
18K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka selo alikohifadhiwa , alikamatwa kwa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambaye bado ana akili za Mwendazake za kuficha taarifa za CORONA , ilikuwa asafirishwe...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Kumekuwa namkanganyiko wa maamuzi ya kiuongozi katika vyama vya siasa hasa, CCM, CUF, CHADEMA NK Je, mwanachama anawajibika kwa katiba ya chama chake au kwa miongozo ya chama? Je, usajili wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia mikoa ya pembezoni ila kwa uhakika huwa sijui wanamaanisha nini. Je, ni mikoa yote inayopakana na nchi jirani zetu? Je, ni mikoa yote iliyo mbali na makao makuu ya nchi yetu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya...
9 Reactions
191 Replies
14K Views
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema. Huko nyuma tumewahi kuwaona akina...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Kitengo cha maafa tangu kuanzishwa kwake chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu hakujawahi kusaidia waathirika wo wote na badala yake kimekuwa ni kitega uchumi na chanzo cha mapato cha serikali...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna ombwe la uongozi, pengine kila mtu anataka apitishe ajenda zake kwa nguvu. Tunapoona viongozi wetu wanaamua kutoka nje hadharani wanatema nyongo, wanatukana, wanakosoa hadi raia tunashituka...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
ZIJUE SIFA ZA MTU AFAAYE KUWA KIONGOZI Yeyote anaweza kuwa kiongozi lakini si Kila mtu anaweza kuwa kiongozi Bora, Bali washikaji wengi wamekuwa Viongozi kwa kulindwa na mifumo tu hata Kama...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna kila dalili kwamba CCM itaendelea kututawala watanzania kwa namna yoyote kwa miaka mingi ijayo, na ukizingatia kwamba mtaani njaa ni kali sana. Hata kama ingekua ni wewe ndugu yangu, katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mawaziri enzi za hayati Mkapa, enzi za Kikwete walikuwa wakiongea wanasikilizwa na kuheshimiwa. Walikuwa na kishindo cha kimamlaka. Lakini alipoingia mtawala wa awamu ya tano Mawaziri wakapoteza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa kama taifa la Tanzania tunahitaji katiba mpya tofauti na ile ya mwaka 1977. Hii ni kwa sababu Tanzania ya mwaka 1977 sio kama ya leo. Leo hii watanzania wanajua haki zao. Wanajua...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Kiongozi ukitaka kuinua ufaulu wa matokeo ya mitihani kwenye mkoa wako au wilaya yako fanya yafuatayo. 1. Waite wadau wote wa elimu kwenye mkoa wako wa shule binafsi na shule za serikali...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Natumaini mko salama nyote, Ningekua Rais wa Tanzania ningefanya maamuzi mawili yatakayo leta maendeleo nusu karne ijayo(50), (A) Mpango kazi wa maendeleo wa Taifa wa miaka 50 (B) Mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam MUHIMU ...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom