Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo tarehe 15 Julai 2021, Selikari isiyopenda kukusanya kodi ya dhulma kupitia wizara yake ya fedha imeanza rasmi kutekeleza makato ya kodi ya kizalendo inayokatwa moja kwa moja katika miamala ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki. Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Salamu kwa wanaJF. Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania. Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli...
25 Reactions
97 Replies
7K Views
Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae...
4 Reactions
9 Replies
44K Views
Dkt. Edward Hosea, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anafurahi kuona wananchi wanatoa madukuduku yao kuhusu Katiba Mpya, ameiomba Serikali kulitazama jambo hilo. Amesema ni...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na...
84 Reactions
376 Replies
75K Views
Habari wana Jamii Forum great thinkers wenza ngumu Leo naomba nikiri kwamba aliyekua Rais wa awamu ya 5 Dr. John Pombe Magufuli ndie mkombozi wangu ktk mahangaiko ya Kimaisha. Nimeiona watu wengi...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Makato kodi ya miamala haya hapa, kuanza kesho WEDNESDAY JULY 14 2021 Summary Ni kodi ya uzalendo inayokusudia kufanikisha ujenzi wa barabara vijijini na uboreshaji wa huduma nyingine za...
7 Reactions
72 Replies
12K Views
Hii kitu tayari imeshakuwa japo kwa asilimia kubwa inawaumiza wananchi walio wengi ishu yangu ndogo tu hapa vipi zanzibar itapewa pesa hii itajayopatikana katika kodi hii ya uzalendo maana na wao...
1 Reactions
3 Replies
797 Views
CCM itapigwa na Mungu na hili halina mjadala ni suala la muda tu tumeona ni jinsi gani Mwenyezi Mungu amewatahadharisha CCM kuwa maisha ya hapa duniani kuishi kwingi ni bahati nasibu na unaweza...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nadhani ipo nafasi ukitika katika utumishi unachobaki nacho ni kama binadamu mwenye imani kwamba Mungu yupo nikumshukuru Mungu nakuendelea kumtukuza kwa uhai na madaraka uliyopewa. Ukipewa...
16 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu...
13 Reactions
119 Replies
9K Views
Habari waumini wa JF, Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke. Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Baada ya Rais Magufuli kutilia Mkazo Somo la Hisitoria, na kutishia kumfukuza kazi Waziri, Leo hii Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameita waandishi wa...
13 Reactions
183 Replies
20K Views
Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi. Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kodi za kizalendo zinategemewa kuongeza tija itakayoonekana kwa macho na siyo kuimbwa midomoni au kuandikwa kwenye vitambaa na skafu za chipukizi. Ni wazi kodi za " kizalendo" ambazo muasisi wake...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom