MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,144
Nimekuwa nikisikia mikoa ya pembezoni ila kwa uhakika huwa sijui wanamaanisha nini.
Je, ni mikoa yote inayopakana na nchi jirani zetu?
Je, ni mikoa yote iliyo mbali na makao makuu ya nchi yetu kwa maana ya Dodoma?
Je, ni mikoa yote iliyoko mbali na DSM?
Je, na DSM nayo ni mikoa wa pembezoni?
Vipi kuhusu Arusha, Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro nayo ni mikoa ya pembezoni?
Juzi nimemsikia Ummy Mwalimu akitolea mfano wa Kigoma, Kagera, Katavi na Rukwa kama miongoni mwa mikoa ya pembezoni ni kwanini hakusema Dar Na Tanga?
Bado nina ujinga kwenye hilo mwenye weledi jamani anipe elimu.