Uchaguzi 2020 Wanaodhani Rais Magufuli hatashinda kihalali wanajidanganya

Jasusi Mbobezi

Senior Member
May 17, 2020
195
851
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.

Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa wananchi kama Mh Magufuli; narudia hayupo. Nimekutana na watu mbalimbali sehemu mbalimbali na kila unayemgusia kuhusu utendaji wa JPM atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20.

Hivi tunajifanya hatujaona ununuzi wa ndege ambazo kwa miaka mingi wapinzani wameitukana nchi kwa kukosa ndege hata moja? Sasa mwamba kanunua ndege 8 kwa cash na ni ndani ya miaka 5 kweli hatujaona?

Tembea nchi nzima uone miradi ya barabara inavyokwenda kwa kasi, hivi kweli tunajifanya hatujaona mpaka tunathubutu kusema JPM hajafanya kitu?

Wakazi wa Dar hivi mfugale Bridge, Ubungo Interchange havina msaada kwenu? Vipi barabara za mitaa nazo hamzitaki? Au zimejengwa na Lissu?

Miradi ya umeme kule kijijini kwenu kupitia REA nayo hamwoni? Miradi ya maji je? Kwanini hamna shukrani?

Huduma za afya mnazionaje? Hamwoni vituo vipya vya afya vilivyo jengwa nchi nzima? Hospitali zilizo jengwa na zilizo boreshwa nazo hamjaona? Vifaa vyakisasa kwenye hospitali hamjaona?

Mara ya mwisho kutembelea bandari za Dar, Tanga na Mtwara mmeona tofauti gani? Ni kweli Mh Rais hajafanya kitu? Viwanja vya ndege je? Vipi kuhusu ununuzi wa rada nalo hamjaona?

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na mradi wa bwawa la kuzalisha umeme nayo hamjaona? Sio miaka 20 ni ndani ya miaka 5 tu.

Maboresho ya jiji la Dodoma pamoja na ikulu ya Chamwino pia hamjaona? Nikweli JPM hajafanya chochote?

Uhuru wa kujieleza mnaoutaka ni upi? Maana mnamtukana mitandaoni, mna kejeli kwa hisani ya mabeberu na mko huru tu, hivi mmewahi kusikia au kushuhudia uwepo wa watu kama Zitto, Fatma Karume, Maria Sarungi nk ktk serikali za China na North Korea? Unasemaje Tanzania hakuna uhuru?

Hamjaona ujenzi wa meli mpya kule Victoria? Yale si maendeleo? Au hamjaona? Mnasikia tena habari za ufisadi? Nikweli mioyo yenu haiwasuti?

Yapo mengi sana aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi alio kaa madarakani, kama wewe ni mnafiki unaweza sema hakuna kilicho fanyika lakini kama una akili unajua tu mwaka huu wapinzani wanaambulia patupu.

Mh Magufuli huna hata haja ya kupiga kampeni, mwaka huu ushindi ni wakishindo maana unakubalika sana. Ziara zako ni ushahidi tosha wa jinsi tunavyo kukubali.

Nawasilisha.
 
Ni Uhuru wa kufikiria. Siyo kushikiwa akili. Siyo kila mtu aimbe mapambio ya kusifu na kuabudu.

Shilingi Ina pande mbili. Kila mmoja Ana haki kuangalia upande autakao. Sii kila mtu awaze na kufikiri sawasawa na unavyo fikiri wewe.
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
 
Huyo moleli wako ni mkoma tu toka hayo madai ameyatoa polisi wameshindwa nini kuyafanyia kazi? Hivi huwa unaandika huku unakunya au vipi?

Huoni kama unaleta picha kuwa Serikali na jeshi la polisi ni dhaifu kwa kuacha tuhuma nzito kama hizo bila kuzifanyia kazi?
 
Ahsante sana kwa kuleta uzi huu, nakubaliana na wewe kwamba JPM hahitaji kufanya kampeni kuomba kura, tena dhidi ya wasaka tonge kama wakina Mbowe, Zito na Lisu
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Kumbe ndiyo maana RC amepigwa ban na Mike Pompeo kuingia Marekani sababu ya kudhurumu haki ya watu kuishi.
 
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.

Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa wananchi kama Mh Magufuli; narudia hayupo. Nimekutana na watu mbalimbali sehemu mbalimbali na kila unayemgusia kuhusu utendaji wa JPM atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20.

Hivi tunajifanya hatujaona ununuzi wa ndege ambazo kwa miaka mingi wapinzani wameitukana nchi kwa kukosa ndege hata moja? Sasa mwamba kanunua ndege 8 kwa cash na ni ndani ya miaka 5 kweli hatujaona?

Tembea nchi nzima uone miradi ya barabara inavyokwenda kwa kasi, hivi kweli tunajifanya hatujaona mpaka tunathubutu kusema JPM hajafanya kitu?

Wakazi wa Dar hivi mfugale Bridge, Ubungo Interchange havina msaada kwenu? Vipi barabara za mitaa nazo hamzitaki? Au zimejengwa na Lissu?

Miradi ya umeme kule kijijini kwenu kupitia REA nayo hamwoni? Miradi ya maji je? Kwanini hamna shukrani?

Huduma za afya mnazionaje? Hamwoni vituo vipya vya afya vilivyo jengwa nchi nzima? Hospitali zilizo jengwa na zilizo boreshwa nazo hamjaona? Vifaa vyakisasa kwenye hospitali hamjaona?

Mara ya mwisho kutembelea bandari za Dar, Tanga na Mtwara mmeona tofauti gani? Ni kweli Mh Rais hajafanya kitu? Viwanja vya ndege je? Vipi kuhusu ununuzi wa rada nalo hamjaona?

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na mradi wa bwawa la kuzalisha umeme nayo hamjaona? Sio miaka 20 ni ndani ya miaka 5 tu.

Maboresho ya jiji la Dodoma pamoja na ikulu ya Chamwino pia hamjaona? Nikweli JPM hajafanya chochote?

Uhuru wa kujieleza mnaoutaka ni upi? Maana mnamtukana mitandaoni, mna kejeli kwa hisani ya mabeberu na mko huru tu, hivi mmewahi kusikia au kushuhudia uwepo wa watu kama Zitto, Fatma Karume, Maria Sarungi nk ktk serikali za China na North Korea? Unasemaje Tanzania hakuna uhuru?

Hamjaona ujenzi wa meli mpya kule Victoria? Yale si maendeleo? Au hamjaona? Mnasikia tena habari za ufisadi? Nikweli mioyo yenu haiwasuti?

Yapo mengi sana aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi alio kaa madarakani, kama wewe ni mnafiki unaweza sema hakuna kilicho fanyika lakini kama una akili unajua tu mwaka huu wapinzani wanaambulia patupu.

Mh Magufuli huna hata haja ya kupiga kampeni, mwaka huu ushindi ni wakishindo maana unakubalika sana. Ziara zako ni ushahidi tosha wa jinsi tunavyo kukubali.

Nawasilisha
Wewe mwenye akili weka tume huru ya uchaguzi. Kwa nini unatapa tapa kuwa atashinda ili hali tume kaiteua yeye? Gemu ya simb na yangu refa ni Manara au jerry muro.
Jiulize wewe una akili?.
 
Kuna wanafunzi wanakosa mikopo, Kuna wahitimu wengi hawana ajira ili hali tuna uhaba wa watumishi hasa walimu na sekta ya afya, mwaka wa 5 Sasa bila nyongeza ya mishahara kwa watumishi, Kuna wakulima wamedhulumiwa korosho zao, Kuna wafanyabiashara wanabambikiwa kodi kubwa, ubinyaji wa demokrasia, usitegemeee hao wote wampende Magufuli.

Mfano mzuri tuna watumishi wa umma zaidi ya laki 5 zaidi ya 80% hawawezi kumchagua Magufuli, Hawa Wana ndugu zao na wategemezi, tuna wahitimu zaidi ya M 1 hawana ajira wanahangaika kutafuta bila mafanikio, unategemea Hawa pamoja na wazazi wao wampigie kura Magu.

Ukweli mchungu hata kura zikipigwa ndani ya ccm Magu hashindi.
 
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.

Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa wananchi kama Mh Magufuli; narudia hayupo. Nimekutana na watu mbalimbali sehemu mbalimbali na kila unayemgusia kuhusu utendaji wa JPM atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20.

Hivi tunajifanya hatujaona ununuzi wa ndege ambazo kwa miaka mingi wapinzani wameitukana nchi kwa kukosa ndege hata moja? Sasa mwamba kanunua ndege 8 kwa cash na ni ndani ya miaka 5 kweli hatujaona?

Tembea nchi nzima uone miradi ya barabara inavyokwenda kwa kasi, hivi kweli tunajifanya hatujaona mpaka tunathubutu kusema JPM hajafanya kitu?

Wakazi wa Dar hivi mfugale Bridge, Ubungo Interchange havina msaada kwenu? Vipi barabara za mitaa nazo hamzitaki? Au zimejengwa na Lissu?

Miradi ya umeme kule kijijini kwenu kupitia REA nayo hamwoni? Miradi ya maji je? Kwanini hamna shukrani?

Huduma za afya mnazionaje? Hamwoni vituo vipya vya afya vilivyo jengwa nchi nzima? Hospitali zilizo jengwa na zilizo boreshwa nazo hamjaona? Vifaa vyakisasa kwenye hospitali hamjaona?

Mara ya mwisho kutembelea bandari za Dar, Tanga na Mtwara mmeona tofauti gani? Ni kweli Mh Rais hajafanya kitu? Viwanja vya ndege je? Vipi kuhusu ununuzi wa rada nalo hamjaona?

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na mradi wa bwawa la kuzalisha umeme nayo hamjaona? Sio miaka 20 ni ndani ya miaka 5 tu.

Maboresho ya jiji la Dodoma pamoja na ikulu ya Chamwino pia hamjaona? Nikweli JPM hajafanya chochote?

Uhuru wa kujieleza mnaoutaka ni upi? Maana mnamtukana mitandaoni, mna kejeli kwa hisani ya mabeberu na mko huru tu, hivi mmewahi kusikia au kushuhudia uwepo wa watu kama Zitto, Fatma Karume, Maria Sarungi nk ktk serikali za China na North Korea? Unasemaje Tanzania hakuna uhuru?

Hamjaona ujenzi wa meli mpya kule Victoria? Yale si maendeleo? Au hamjaona? Mnasikia tena habari za ufisadi? Nikweli mioyo yenu haiwasuti?

Yapo mengi sana aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi alio kaa madarakani, kama wewe ni mnafiki unaweza sema hakuna kilicho fanyika lakini kama una akili unajua tu mwaka huu wapinzani wanaambulia patupu.

Mh Magufuli huna hata haja ya kupiga kampeni, mwaka huu ushindi ni wakishindo maana unakubalika sana. Ziara zako ni ushahidi tosha wa jinsi tunavyo kukubali.

Nawasilisha
Vipi na matusi ya JPM na dharau kuhusu wanawake au mwenzetu we unaona upande mmoja
 
Nashangaa mtu anaposema hamjaonavununuzi wa hiki mara ujenzi wa hiki na kile. Kwani mlimchagua afanye nini labda?

Tunapoebda kwenye uchaguzi na kuamua kumchagua kiongazi flani wewe unategemea afanye nini?

Mbona waliomtangulia wamefanya makubwa tu lakini muda wao ulipoisha waliondoka?

Kama mnataka utamaduni huu basi tuanze kuchagua maraisi wenye pesa. Wafanye maendeleo kwa pesa zao alafu tuwasifie na anayefanya vizuri tumruhusu atawale mpaka atakavyochoka.
 
mleta mada acha upopoma!!ndege anapanda nani?zaidi ya hao wachache???wangapi hawana maji na umeme?shirika linatia hasara kila siku!!!!
Sio kupanda tu watueleze manufaa ya hizi ndege. Na ukitaka kutaja manufaa, linganisha bei za sasa na kipindi kile.
 
Wewe mwenye akili weka tume huru ya uchaguzi. Kwa nini unatapa tapa kuwa atashinda ili hali tume kaiteua yeye? Gemu ya simb na yangu refa ni Manara au jerry muro.
Jiulize wewe una akili?.
Tatizo ni pale hata baada ya kuutambua ukweli huo, bado unapeleka timu huku ukijua fika kwamba, marefa ni Wa kwao, mpira wameleta wao, uwanja ni Wa kwao, walinzi wameleta wao na hata kamisaa Wa mchezo kaletwa na wao.

Na huu ndiyo upumbavu Wa kiwango chake
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Back
Top Bottom