Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu. Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Tupige kura ili kukata mzizi wa fitina na kupunguza mabishano!
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa...
25 Reactions
79 Replies
6K Views
Wakili msomi Fatma Karume anahoji Wazanzibari watafaidika vipi na hii kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Swali limeelekezwa kwa Dr Ummy Mwalimu wa Tamisemi. Nawasalimu kwa jina la JMT!
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900). Ujenzi wa hospital ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha...
0 Reactions
3 Replies
853 Views
Mheshimiwa sana Mwigulu, kwa kuwa umeamua kwa namna yoyote ile ni lazima hela ipatikane, iwe kwa njia halali au dhulumati, njia safi au chafu, kwa mijeledi au kwa makubaliano, kwa shari au amani...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya mama Samia Suluhu imeanza kazi kwa kutoa wito kwa wafanyabiashara wote hapa Tanzania na nje ya Tanzania kurudi na kuendelea na biashara hapa nchini baada ya...
2 Reactions
4 Replies
820 Views
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama. Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki. Nazidi...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '. Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu...
16 Reactions
177 Replies
18K Views
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi. Peoples.........!
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Usihangaike kuandaa hotuba ndefu kujichosha wewe mwenyewe pamoja na watakaokusikiliza. Wafanyakazi wanataka kusikia mambo manne tu: 1. Nyongeza ya mishahara yao ambayo ilisitishwa tangu 2015...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais...
28 Reactions
144 Replies
13K Views
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei...
93 Reactions
447 Replies
41K Views
UPDATES: Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Rais Magufuli...
53 Reactions
1K Replies
158K Views
Hakika inasikitisha sana mahangaiko wanayopitia wazee wetu wastaafu kudai Mafao yao. Kuna Mzee alistaafu Julai 2018 lakini mpaka leo anahangaishwa na Mfuko wa PSSSF kulipwa Mafao yake ya Serikali...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau ni suala la kujifunza tu. Rais anapochaguliwa anateua waziri mkuu na mawaziri ambao wote huapa mbele yake na ndivyo ilivyokuwa. Baada ya kifo cha Rais Magufuli aliyekuwa makamu wa rais mama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom