SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2017 wenye marekebisho ya sheria 15 ikiwamo Sheria ya Ushuru wa Bidhaa.
Kwa mujibu wa marekebisho hayo, ushuru wa bidhaa kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa...
Ni kuhusiana nguvu ya kudai kodi kwa wamachinga, wenye magenge, wenye simu, wafanyakazi n.k. versus nguvu ya kudai kodi kwa mfano, "Raia wa kigeni akwepa kulipa kodi kwa miaka 8" - Habarileo Julai...
MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu...
Kodi SimKadi ya Sh. 1,000 kwa mwezi kwa kila mwenye simu ya mkononi is the most draconian tax ever introduced in Tanzania recently. Kodi ya Sh 1,000 kwa mwezi itawaumiza watu wengi sana hasa wale...
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma...
Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali...
President Samia Suluhu Hassan of Tanzania
This morning, many newspapers have headlines suggesting public panic related to the recent tax deductions related to mobile digital transactions, which...
Mawazo na mpangilio wa hoja wa Mhe. Mwigulu Nchemba unakosa ladha ya utaalamu wa uchumi. Anajadili issues too theoretical au kama mtu aliyehitimu darasani akahama na skills za darasani kwenda...
Kuna mahali nimesoma haya maelezo nitanukuu hapa "Ilivyopanda ni shock (mshituko) ya awali, ingekuwa itapanda milele ndio watu wanatakiwa kuwa na hofu.
Ukiangalia kwenye soko la dunia hakuna...
Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa...
"Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu ikiwemo kuripoti central police Dar kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar pia mawakili...
Mkuu wa mkoa wa Arusha hajaamishwa, kumekuwepo na uzushi kwenye mitandao ya kijamii na kwenye simu kupitia sms kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Magesa Mulongo ameamishwa. Sio kweli yupo Arusha...
Haya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi.
Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA
Mama...
Baada ya mtia Nia ya kugombea Urais kupitia CCM,Mwigulu Nchemba kupigwa 'Stop' na chama chake kufanya ziara za kichama mikoani zenye mwelekeo wa kumndani,Sasa wafuasi wake wamebadili mbinu...
DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya...
Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo...
Bado Tanzania ni nchi salama sana kuishi. Kwanini? Watu wake ni wapole na waliomtanguliza Mungu. Hata kwenye haki zetu huwa "Tunamwachia Mungu" na kuendelea na maisha kama kawaida tena kwa furaha...
Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara na darasa kuteketea kwa moto, mkuu wa Mkoa wa Geita...
Wana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.