Wanaharakati bado hawakubali, kwani kuna tatizo lingine?

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.

Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.

Nazidi kushangaa kwanini ni kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida

Au kuna tatizo lingine zaidi ya Yale mliokuwa mnalalamikia?

Ni kwamba mtu asipokosoa kuna kitu anakosa? Naona nguvu inatumika Sana kumkosoa mama Samia.

Mama Samia shikilia hapohapo, sisi tunatuelewa usikatishwe tamaa wewe ni shujaa.

Kanyaga twende.
 
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia mama samia kishaonyesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi kushangaa kwa nini ni Kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida
Au kuna tatizo lingine zaidi ya Yale mliokuwa mnalalamikia?
Ni kwamba mtu asipokosoa Kuna kitu anakosa? Naona nguvu inatumika Sana kumkosoa mama samia.
Mama Samia shikilia hapohapo, sisi tunatuelewa usikatishwe tamaa wewe ni shujaa.
Kanyaga twende............
Atake asitake tutamwondolea ukomo...............hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia mama samia kishaonyesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi kushangaa kwa nini ni Kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida
Au kuna tatizo lingine zaidi ya Yale mliokuwa mnalalamikia?
Ni kwamba mtu asipokosoa Kuna kitu anakosa? Naona nguvu inatumika Sana kumkosoa mama samia.
Mama Samia shikilia hapohapo, sisi tunatuelewa usikatishwe tamaa wewe ni shujaa.
Kanyaga twende............
Awanyooshe tu. Huyo ndiyo Rais wetu na wanaomtenngeneza kwa 2025 wataangukia pua. Mama imara kama chuma cha Pua
 
PSSSF ipo hoi lkn kipind cha mwendazake ukiwaambia mfuko hoi utaitwa beberu sasa Mama leo kasema.
 
Back
Top Bottom