Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ni mzaliwa wa chato mkoani Geita, pia alikuwa mbunge, naibu waziri na waziri katika nyakati tofauti, tofauti enzi la utawala wa Benjamin Mkapa na Rais mstaafu...
Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa.
Suala...
Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni...
Kuna Msemo usemao Roma Haikujengwa kwa Siku moja. Msemo huu inaonekana wengi huwa hawauelewi.
Msemo huu pamoja na tafsiri nyingi unaimanisha kuwa Uzuri wa Roma katika kila nyanja ulichukua muda...
Mimi kama mwalimu napinga kwa nguvu zote juu ya suala la chama cha walimu Tanzania, CWT kukusanya maoni ya walimu yanayotakiwa kutolewa kwa ajili ya uundaji wa bodi ya walimu. Zipo bodi mbalimbali...
Wapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia.
Tozo ya miamala ya CCM haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani...
Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi.
Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa...
Chama Cha Mapinduzi kimemuagiza mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe Joseph Mkirikiti kuunda kikosi kazi cha kukagua na kufanya tathmini ya miradi inayotekelezwa mkoani humo ili kujua ikiwa utekelezaji wake...
Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena...
Ni masikitiko yangu makubwa kuona Viongozi wa wizara ya afya kutwa wakishinda kwenye media /mtandaoni.
Tabia hii inaabisha hadhi ya wizara na fani ya udaktari.ACHENI. Nendeni kwenye media mkiwa...
DK. ANTONY DIALO NI MNAFIKI SANA, MPUUZENI
Na Bollen Ngetti
NINAANDIKA makala haya nikiendelea na matibabu ya Covid-19 kwa siku ya 9 lakini nina amini nitapona. Upekee wa virusi hivi ni kwamba...
Wapo watu wanaona wao ndio walizaliwa kuzungumza,kutafakari sahihi na kuamua kwa ajili ya wengine. Wapo watu wameaminishwa kwamba wanaishi hapa Duniani kupumbuza wengine ili wao na familia zao...
Habari Tanzania!
Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA?
Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au...
Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY".
So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka...
Marehem Kolimba alisema CCM haina dira, na ghafla macho yote ya wana CCM yakaelekezwa kwake na, ninasikia, alikufa alipopewa kipaza sauti ajieleze ati kwanini alifikiri CCM haina dira!
Pamoja na...
CCM Yasema Haipo Tayari Upinzani Ufe
Shaka aahidi Chama kuendelea kushirikiana nao ili kujisahihisha.
Awataka wananchi wa Jimbo la Konde kutopoteza kura kesho.
Na Mwandishi Wetu, Pemba
"Chama...
Awali ya yote nipende kuwasalumu nyote! Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuchagua na kutufanya tuitwe watanzania. Ni nchi ya kipekee duniani hivyo tuna kila sababu ya kutembea vifua...
Yaani serikali ndio imekosa vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kukamua wanyonge wataotumiwa na pesa na jamaa zao ili kujikimu?
Hivi hakuna maeneo ya kupata hizo Bil 45 mnazodai ni kwa ajili...
Huu ni wakati wa Dhahabu kwa upinzani wa Tanzania kuiondoa CCM. Kwanza mnapaswa kujua wapi moyo wa watanzania masikini ulipolala. Kwakuwa CCM wameamua kuwa wapinzania wa Hayati Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.