Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema!
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa...
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri...
Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi.
Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja.
Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu...
Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi.
Dk. Gwajima amewataka Watanzania...
Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo.
Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu...
Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa?
Nakumbuka Watanzania walichanga maafa ya Kagera lakini serikali haikuwajibika vya...
Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia...
Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya...
Mkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation:
1. Wanathamini msukumo wa Mama Samia kupambana na janga hili la Corona kisayansi
2...
Kuna watu watadhani labda nafanya masihara ila ukweli nimejipanga kuchukua nchi kama watanzania mnataka kuachana na haya maisha magumu.
Yafuatayo ndio yatafanyika kwenye utawala wangu:
1. Mifuko...
Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt...
VIFURUSHI; Ahsante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu
Nani kama Mama? Hakuna. Hakika hakuna kama mama.
Kilio chetu cha kutwa moja tu kimemfanya mama atoe maagizo fasta kwa TCRA kushughulikia...
Habarini za Majukumu wadau,
Kama kichwa cha habari kisemavyo, mamlaka ya maji Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani (DAWASA) wameshindwa kuwaunganishia wateja wapya huduma ya maji kwa sababu wanadai...
Hii habari inavunja moyo. Desemba?! Tutafika kweli huko? Mbona Zenji kwao imeshatua?
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alipohojiwa na kituo cha runinga cha Azam juzi, alisema...
Habari wa Jf.
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa uongozi wa Psssf Temeke kwa kuendelea kuwalea hawa watoa huduma waliopo madirishani kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa mteja pindi anapokuja...
Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani...
Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi.
Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio...
Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.