" Anaupiga mwingi" maana yake nini? Mi ni mgeni hapa CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,721
141,582
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.

Peoples.........!
 
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.

Peoples.........!
Kuupiga mwingi ni kuizika legacy ya mwendazake kwa kumjengea sanamu la 420m.
 
Back
Top Bottom