Kumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde...
Duh sijui ni ugeugeu au ni ufyatu... hazikupita siku nyingi watu walisema lugha ya "wanyonge" haipo. Na kuwa ni lugha mbaya... mara hii watu wameanza kusema kuna wanyonge? kha!! Watu walikuwa...
Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
Haya ni maneno machache ambayo DC @jerrymuro1980 ameyatamka huko Ikungi -Singida ,mengi zaidi ameyasema katika Audio inayosambaa akiwa anazungumza na viongozi na wananchi huko Ikungi.
Moja ,ni...
Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu.
Mwananchi analalamika.
Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%.
Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali...
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema bajeti ikishapitishwa na bunge inakuwa ni sheria hivyo waziri hana nguvu ya kufuta wala kubadili chochote
Dr Mwigullu atakuwa hewani siku ya Jumatatu...
Mbunge wa Ubungo Prof Kitila Mkumbo amesema wakazi wa Kimara wasiwe na hofu kwani hatua zote za kisheria zitafuatwa kabla hawajahamishwa kupisha ujenzi wa barabara.
Mkumbo amesema kwa kuanzia...
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP...
Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda kuwanufaisha wananchi wa vijijini kwa kufungua mtandao wa barabara...
Habari Mheshimiwa Rais,
Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa...
Kama mada inavyojieleza
Enzi za mwendazake nchi ilikuwa na makodi Kodi ya ajabu ya kumuumiza mwananchi wa hali ya chini na kuwaneemesha viongozi
Baada ya mwendazake kwenda, kaja huyu bi Kidude...
Wakuu wana jamvi habarini za usiku? Natumaini wengi wenu mpo vizuri pamoja na changamoto ya ugonjwa wa covid-19 tunaopitia,Hoja yangu ya muhimu ni kujua namna ya mchakato wetu wa bajeti yetu ya...
Kiongozi anapambana kuaminisha Watu kuwa tunahitaji kupunguza matumizi/lishe ili tukidhi vigezo vya Uzalendo, hii ni sawa? sio kwamba tunatakiwa tuongeze kipato ili tule vizuri...Yaani badala ya...
"Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote;
👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi
👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele...
Habari zenu viongozi!
Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile.
Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na...
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania.
Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso...
Rais Samia Suluhu Hassan
Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana.
Tozo hizo...
Aandika Mohammed Ghassani
Uzalendo gani!?
Mpendwa muheshimiwa, anapanda jukwaani huku mbweu anatowa, anukia biriani tutakaohutubiwa, hatuna kitu tumboni
Muheshimiwa ajuwa kwamba watu wana njaa...
Haya ni baadhi ya maeneo yanayoonesha jinsi serikali itakavyokusanya kodi.
1. Vinywaji baridi imeongezeka kwa Sh3 kutoka Sh58 mpaka Sh61.
2. Maji ya kunywa imeongezeka kwa Sh3 kutoka Sh58 hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.