Katiba iliyopo inasemaje Waziri kutokula kiapo cha rais aliyopo madarakani?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau ni suala la kujifunza tu.

Rais anapochaguliwa anateua waziri mkuu na mawaziri ambao wote huapa mbele yake na ndivyo ilivyokuwa. Baada ya kifo cha Rais Magufuli aliyekuwa makamu wa rais mama samia akaapishwa kuwa rais wa tanzania. Rais samia hakuteua waziri mkuu na baadhi ya mawaziri waliendelea wale walioteuliwa na rais magufuli.

Swali:
Je, waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ambao hawakuteuliwa na rais samia ni sahihi kuendelea na kiapo walichoapa kwa rais magufuli au walipaswa waapishwe na rais samia?

Naomba kuelimishwa.
 
Huyu aliyejaaliwa kila neema za Allah akapewa kukasim madaraka naona anachokonolewachokonolewa sana, juzijuzi tumewasikia wengine wakisema alipewaje nafasi wakati makaratasi kwenye kasha hayakutumbukizwa wala kuhesabiwa?
 
Back
Top Bottom