Tarimba: Kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo; Wananchi kuna manufaa katika kulipa kodi

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.

Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu wanachi kuna manufaa katika kulipa kodi.

Kama Elites inabidi tuanze kuwa na utamaduni wa kufuatilia mijadala ya kitaifa na kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo hatuwezi kujenga kwa namna hii. Asanteni." - Mh. Abbas Tarimba (Mb Kinondoni)
 
Zungu hoiyeeeeeeeeeeeee

IMG-20210715-WA0094.jpg

Tarimba nakuona Sasa na wewe unafurahia utamu wa Kodi yetu. Hongera sana
Ikipita kodi hii miamala na mafuta kwa mwaka mmoja tu nchi itakuwa na mabadiliko chanya ili mradi fedha zitumike vizuri kwenye miradi pamoja na maumivu yatakayo kuwepo in a short run.
 
Hakuna mtu anakataa kulipa kodi.Shida ni kodi inatumikaje maana tunalipa kodi watu wanunue magari ya milion 400 .Bado ukija kuuliza miradi kibao ni mikopo hapo ndo unaona tatizo ni ukubwa wa serikali.

Haiingii akilini mapato yako mengi yaende kwenye mishahara na matumizi kwenye maendeleo ni robo. Mimi naona tuanze na hao wabunge kwanza maana kwa mwezi kodi yetu wanayoitafuna pale ni hatari.
 
Ikipita kodi hii miamala na mafuta kwa mwaka mmoja tu nchi itakuwa na mabadiliko chanya ili mradi fedha zitumike vizuri kwenye miradi pamoja na maumivu yatakayo kuwepo in a short run.

Umewahi kuona kodi mara mbili kwenye Huduma au bidhaa moja?...

Mnajua kinacholalamikiwa au mnaongea tu kibubusa?.. UMEWAHI KUONA KUNA KODI JUU YA VAT
 
Tunapaswa kujitafakari tena, kwamba je, tunaona faida chanja au hasi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutawaliwa na Chama kimoja. Je, faida yake ni nini kwa Taifa ?. Mathara yake ni yapi?
 
Wananchi wanapendekeza Ili kuongeza mapato kwenye halmashauri zetu hasa zile zilizo kwenye Majiji,tozo ya sehemu za VIP kwenye lounges, viwanjani n. k
 
"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.

Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu wanachi kuna manufaa katika kulipa kodi.

Kama Elites inabidi tuanze kuwa na utamaduni wa kufuatilia mijadala ya kitaifa na kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo hatuwezi kujenga kwa namna hii. Asanteni." - Mh. Abbas Tarimba (Mb Kinondoni)
huyu muuza unga kachaguliwa na nani kuwa mbunge?
 
Yeye kodi analipa? Tuanzie hapo kwanza.

Kisha tuje huku:

IMG_20210716_182538_628.jpg

Tukitoka hapo huku kuna mhusu:

IMG_20210716_183804_119.jpg

Na hapa pia:

IMG_20210716_183826_638.jpg

Hadi hapo anasema je Abbas Tarimba?
 
Back
Top Bottom