Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwapo maonyo mengi tangia ugonjwa huu ulipoingia. Ni wazi kuwa kutokana na kauli mkanganyiko zilizokuwapo katika nyakati mbali mbali hali halisi ndiyo hii inayoonekana leo. Ugonjwa uliopaswa...
7 Reactions
89 Replies
5K Views
MTWARA :- "WEZI WA KUTUMIA BIMA YA AFYA WAKAMATWE POPOTE PALE - MPANGO “Nasikia kuna mchezo kuna watu wanatumia bima za afya kuiba Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya hawa watu kamateni popote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwamba Rais Magufuli aliteua jambazi kuongoza wilaya kama mkuu wa wilaya na mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa. Kwamba mwaka 2015 wananchi wa Hai walichagua Gaidi likawawakilishe bungeni. Huko...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika kukabiliana na UVIKO-19, ni sawa kuanza kuyachanja haya makundi yaliyopendekezwa na kamati ya Profesa Aboud? Simiyu, Tanzania Mheshimiwa rais Samia alipoingia madarakani aliunda kamati...
1 Reactions
3 Replies
790 Views
Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Natumaini nyoote mu wazima wa afya wataalamu wa siasa na propaganda zake ni mara yangu ya kwanza kuandika huu uzi kwenye jukwaa hili pendwa.zamani nilikua nachukia siasa lakini baada ya kwenda...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike. Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo...
58 Reactions
132 Replies
11K Views
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho...
47 Reactions
142 Replies
18K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya...
3 Reactions
135 Replies
12K Views
Dkt.Mpango wewe nikiongozi uliyeonyesha UONGOZI BORA NA SI UTAWALA WA MABAVU. Hakika mbele za Mungu nakupongeza sana. Leo 26/7/2021 umehutubia wananchi wa Mtwara waliokusanyika katika kuweka jiwe...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Let’s talk about it! Serikali ya Magufuli ni nini? Ni nani? Kuna kila aina ya ‘excuses’ ambazo Rais Samia anapewa na baadhi ya watu. Watu hawa wanadai kuwa Rais wetu huyu anahujumiwa na watu...
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya. Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema. Hivi kwani...
7 Reactions
94 Replies
11K Views
“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza! Lakini usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”. Waziri Nchemba Pia soma >...
2 Reactions
88 Replies
10K Views
Nyumba za ibada zikaguliwe mara kwa mara na kuhakikisha zinazingatia yafuatayo; Ziweke vifaa vya kunawia mikono (maji safi tiririka na sabuni au Vitakasa mikonoSanitizers) na muumini atakaye...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukweli ndugu zangu, kila nikihangalia naona Mheshimiwa Al Marhemu Magufuli ni kama ameondoka na neema zake kwani hata radhi yalikuwa hayatusumbui. Je hii serikali iliyoingia na kurithi madaraka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni wajibu wa kila serikali kuhakikisha wananchi wake wanaishi maisha bora, na ili serikali iwahakikishie wananchi wake maisha bora ni lazima wananchi hao watoe kodi ili serikali ijiendeshe vizuri...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Kitendo cha kumkamata Mbowe na kumtuhumu kuwa ni gaidi tunajaribu kutengeneza dhana mbaya sana mioyoni mwa watanzania masikini wapenda amani. Tanzania miaka yote haijawahi kufikia hatua hii Wala...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu, hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi. Bado tunaendelea kutafakari, bali...
20 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa. Aidha, Hospitali...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom