Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama Wananchi tunalo jukumu takatifu la kumsaidia mama Samia kuwaondoa serikalini watendaji mizigo wakiwamo Mawaziri. Hii ni hata kama jukumu hilo linaweza kuwa chungu, hatari au kuwa na...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
MAKATO YA MIAMALA Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi,,huenda walioanzisha tozo hizo...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya, leo imesema Mazoezi na shughuli zote za michezo ni sehemu muhimu katika kuimarisha afya na kujikinga na magonjwa mbalimbali. Hata hivyo, imesema shughuli hizi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo humu.. Ndugu zangu baada ya kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekigoda wa chama fulani, wengi wetu tulijua sasa kutachimbika. Mfano mimi binafsi...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Taarifa za uhakika ni kuwa, mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye usiku wa leo ameanza safari ya kusafirishwa na jeshi la Polisi kupelekwa Dar kwa ajili ya upekuzi. Kiongozi huyo pamoja...
18 Reactions
71 Replies
8K Views
Maeneo ya Saluni na vinyozi ni lazima yakaguliwe mara kwa mara na maafisa afya wa Halmashauri na kuhakikisha mambo yafuatayo yanazingatiwa; - i. Wamiliki wa Saluni na Vinyozi wanatakiwa kuwa na...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana...
46 Reactions
466 Replies
23K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema matamshi ya Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI James Francis Mbatia aliyedai Rais Samia Saluhu Hassan kuwapa muda wanasiasa ili...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
"Kama chanjo ya COVID ni suala la hiari, kwanini bila kuchanjwa chanjo siruhusiwi kutoka nje ya Afrika?" Siku ikitokea idadi kubwa ya wanadamu Afrika wamechanjwa, itakuwa ni ngumu sana kwa mtu...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa BRT Phase ya Mbagala kwenda Kariakoo. Shida inakuja pale inapojengwa barabara bila vituo vya daladala wakati wakijua fika kuwa lazima daladala ziwepo. Angalia...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasalaam Kama vile nchi yetu na viongozi hatujui tunataka nini, tunaenda wapi na tuko wapi? Huku COVID-19 na katazo la mikusanyiko, lakini viongozi ndio wa kwanza kufanya mikusanyiko (unajiuliza...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya kiini macho cha chanjo kupatikana ndani ya mwaka mmoja bila kuwepo kwa takwimu zisizotia shaka za majaribio kwenye wanyama kama panya na baadaye binadamu ambao lazima wapewe taarifa...
0 Reactions
7 Replies
954 Views
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11. Kareen...
29 Reactions
95 Replies
10K Views
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi. Watu bado wanaingia mpaka sasa Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti...
12 Reactions
56 Replies
4K Views
Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja. Katiba mpya je? Mwamba atatuvusha?!
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema “Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
CHADEMA OFFICIALLY BEGINS TO DISTURB TANZANIA. LET US BE WATCHFUL. After hitting rock bottom with CHADEMA's plan to pass through the New Constitution conference scheduled for activities in...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda. 1. Mbowe alimuita...
44 Reactions
121 Replies
11K Views
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19? Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi! Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal...
14 Reactions
156 Replies
9K Views
Back
Top Bottom