Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi waliojipanga njiani mjini Morogoro amewatonya watanzania na kuwaasa kuwa chokochoko zimeanza hivyo watanzania...
Naomba tu niwataje wachache walioamua kuunga juhudi toka upinzani na kurejea CCM . Watu Kama ; Waitara, Gekul, Mkumbo, Mashinji, Kafulila, Silinde, Lijuakali na wengine wengi, hawa kwa Sasa...
Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao.
Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali.
Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza...
Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali...
Serikali imeagiza kuanzia kesho kila anayetumia usafiri wa umma kuvaa barakoa huku stendi za mabasi zikitakiwa kuwa na miundombinu ya maji tiririka, sabuni na vipima joto.
Ndugu rais
Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni...
Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy...
Watanzania wengi ni wajinga, wanataka waandikiwe barua mmoja mmoja ili wajue kuwa kuna kudai katiba. Wanadai katiba kwao siyo ishu ishu ni maendeleo.
Je, ni nani aliyetayari kuleta uwekezaji...
Tanzania sio kisiwa, kila tunachokifanya kwenye mapambano dhidi ya Covid 19 kinavuka mipaka na kuonekana duniani kote.
Ni wazi kuwa sasa tumekubaliana kuwa maambukizi ya COVID-19 yapo hata...
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.
Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa...
Jaribu kuwafuatilia Makatibu Wakuu wa CCM walioteuliwa baada ya Horace Kolimba kukutwa na yaliyomkuta utawaona ni kama wamevurugwa kwa namna fulani.
Yaani shukrani ya chama kwao huwaga kama ni "...
Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/-...
Ni hivi karibuni tuliona tamko lenu mkiwatisha wagombea kuwa Mtu atakaye mpinga mgombea mnaye muunga ninyi mkono mtu huyo atakiona cha mtema kuni. Uzuri matamko yenu mliyatoa hadharani kabisa na...
Hakuna ukatili ambao Makaburu wa South Africa waliacha kuutenda kwa weusi ,waliuawa kwa maelfu,walifungwa kwa maelfu,waliteswa kwa maelfu.
Enzi hizo Marekani na Uingereza mataifa yenye nguvu...
SHAKA: KAULI ZA MBATIA ZIMEKUSUDIA KUWACHOCHEA WANANCHI NA KUWAGOMBANISHA NA SERIKALI.
NDUGU: SHAKA HAMDU SHAKA; MNEC & KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema...
Friends and Enemies,
Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,
Walikaaa...
Wasalaam
Bunge
Ili uwe mbunge lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa,chama kina kupa dhamana,kama sivyo basi itokee utashi wa Raisi akuteue!!.. Mfumo wa Bunge letu na wabunge wenyewe ni tishio...
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo...
Nchi nyingi zenye viashiria vya Ugaidi zimekuwa zikiyumba kiuchumi. Lakini pia raia wake upata shida Sana wawapo nje ya mataia yao kwa usumbufu wa upekuzi na ufauatilia unaomiza.
Kutangaza nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.