Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi.
Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya.
Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi...
The Statue of a limping Achilles trying to pull an arrow from his injured heel.
Dear President Samia, after having assessed your performance for months now, I am about to make a rounded...
Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha...
Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe
Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara waliokimbilia Nakonde, Zambia, kwa maelezo kuwa huko kuna unafuu wa kodi kuliko Tunduma, Tanzania warejee, na malalamiko yao yatafanyiwa...
Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa...
Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA.
Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie...
Tukiwa bado tunatafakari mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, hali inaonekana sio shwali ndani ya chama hicho.
Nasema hali sio shwari, kwani kila mtu...
June 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.
WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa...
Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"
Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the...
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji...
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani...
Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale...
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.
Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa...
Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako.
Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa...
Tutazidi kusindikiza kwenye uchumi na kutengeneza wanafiki wa Taifa kupitia mfumo wa serikali tulioasisi awamu ya Tano. Yupo kiongozi wa Dini amediriki kutamka adharani kwamba tunakosa viongozi...
Inashangaza sana na inachanganya sana,
Africa ndio kusema inabahati mbaya ama inatengenezewa zengwe ili siku ya siku ije ipukutike?
Ilikuwa chanjo ya AstraZeneca kutiliwa mashaka katika nchi za...
Mama Samia rais wetu, umetufahamisha rasmi uwepo wa ugonjwa huu mbaya hapa nchini. Umetaka maelekezo yote yanayotolewa na wataalamu kufuatwa. Kwa mioyo mikunjufu yote tumeyakubali na...
Aisee mheshimiwa rais suala la tozo unahujumiwa!!!
Mama nataka nikuambia mwigulu na ndugai wanafanya kusudi na kutoa matamko mabaya kuhusu tozo kwa maksudi tu ili wakuhujumu
Mama umesahau kuwa...
Inafahamika kuwa tume ya wataalamu iliyoteuliwa kushauri kuhusiana na ugonjwa huu ilitoa mapendekezo yake.
Inafahamika kuwa % kubwa ya mapendekezo ya tume hiyo yamepokelewa na yako katika hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.